jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kujitambua nigonjwa sugu kwa wa Africa, kijana wakizungu wa miaka 23 anatofauti mkubwa mno na kijana waki Africa.Huyo Dogo ki umri ni mtu mzima ila bado hajajitambua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujitambua nigonjwa sugu kwa wa Africa, kijana wakizungu wa miaka 23 anatofauti mkubwa mno na kijana waki Africa.Huyo Dogo ki umri ni mtu mzima ila bado hajajitambua.
Uku Tanganyika atufati sheria za dini , Tunafata sheria za jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ata ndoa za kiislam wakigombana au kutallikiana kama mmoja wapo ajalizika ukimbilia mahakani ya hakim mkazi, nasiyo mahakama za kadhi.Ndugu wa mama siku zote huwa tatizo na ndugu wa baba pia huwa nao ni matatizo pia,wamama huwavuta watoto nakuwapandikiza chuki zidi ya upande wababa nakuwaambia watakuzurumuni mali zenu,na upande wababa mala nyingi wao ndio hujiona wenye haki zaidi na marehemu kuliko wengine.kama wangelilikuwa waislamu basi milathi yao ingelikuwa nyepesi kabisa baba wa marehemu ana haki yake ambayo imetajwa wazi mama nae anafungu lake kisha mke naye ana lake nawatoto nao wanahaki zaidi kuliko hao niliowataja huko nyuma tena kipimo kinachotumika ni chaasilimia.kiisilamu hapo kumbukeni warithi wahuyo marehemu ni mafungu 3 tu, 1 wazazi 2 mke 3 watoto.nashangaa sana munafeli wapi wakristo? Kama hamna sheria ktk kitabu chenu! musione aibu kuazima hii sheria alafu muone kama kutakuwa naugomvi tena
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upyaFamilia nyingi upande wa mibaba yetu inakuwaga nuksi tu...... Wajomba afadhali wanajitoaga sana.
Naongea by experience.
Ningekuwa Mimi billionaire ninge mlisisha Mali zote shamba boy au mlinzKama hakuna wosia, wenye haki ya kupata mgawo was mirathi ni:-
1.Mke au wenza wa marehemu
2.Watoto wa marehemu
3.Wazazi wa marehemu
4.Wategemezi wengine was marehemu ambao wanatambulika kisheria, e.g. legally adopted children
Nje ya hao hakuna MTU mwingine yoyote mwenye haki ya kudai mgawo wa mirathi
Erasto aliacha wosia Na alitaka 40% ya Pesa yake wapewe wazaz Na ndugu zake Na Miriam alishawapa. Lakini familia haikuridhika ikataka xaidi Na ndo walianzisha chokochoko. Miriam alipokamatwa alimwachia kaka yake aangalie Mali sababu ndugu Wa erasto wanazitaka zote. Huyo mtoto shangqz zake walimweka ndani wakimuhusisha Na kesi ya mama ake. Hao ndugu zake erasto kwanini walifunga nyumba?Umofia kwenuuu wanabodi!!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa Dc wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana hili sakata la bilionea Msuya, lakini nimeshtushwa kumbe hatimaye kwa miaka hii ambayo mke wa erasto yupo gerezani mali zimekuwa zikisimamiwa na kaka wa mwanamke huyo !
Nimejaribu kuestablish in summary vitu vichache ambavyo vitarahisisha katika kutoa ushauri:-
1.Bilionea Msuya alikuwa mfanyabiashara wa madini aliyeuwawa kwa kimiminiwa risasi maeneo karibu na KIA miaka ya 2013,wauaji walikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa.
2.Dada wa bilionea Msuya kwa majina ya Anathe Msuya aliuwawa mwaka 2016 nyumbani kwake kigamboni.Alichinjwa :na wauaji walikamatwa ambapo mmoja wao ni mke wa marehemu bilionea Msuya kwa majina ya Mirium Mrita.Mke huyu wa marehemu erasto Msuya alikiri kuhusika katika mauaji ya wifi yake kwa madai kuwa alikuwa anamtukana na kumtumia picha za wanawake wenye maumbo makubwa kwa kumkebehi (nadhani walilumbana kuhusu mali pia) kesi inaendelea na mke yupo segerea
3.Wazazi wa marehemu Erasto msuya wote wawili wako hai na inasemekana bilionea huyu utajiri wake aliupata kutoka kwa wazazi ikiwepo kupewa mali kama kitalu cha mgodi na hoteli ya SG etc etc
4.Marehemu Erasto msuya aliacha watoto wanne ambapo mtoto wa kwanza kwa majina ya kelvin Ana umri wa miaka 23 kwa Sasa! (Kwa mtoto wa kiume wa familia ya kitajiri ndo muda wa kula bata kama zote ).
5.kikao cha familia kilimteua mirium mrita kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu erasto msuya,na baadae alipokamatwa kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake alimteua ndugu yake Steven mbazi kuwa msimamizi wa mali hizo bila kuhusisha wahusika wote wa mirathi ya erasto.
6.Mjomba Mbazi analalamika ndugu wa erasto wanamtishia maisha, mjomba Mbazi ndo anasimamia SG hotel, Mjomba Mbazi amekataa kumlipia ada Glory mtoto wa erasto anayeishi canada kwa madai kwamba hajatuma matokeo
7.Mtoto wa marehemu Kelvin alitokea mbele ya vyombo vya habari mapema wiki iliyopita akiomba msaada wa raisi Magufuli kuingilia kati sakata hilo Kwani wanateseka, alitoka mbele ya vyombo vya habari akiwa na mjomba wake ambaye ni mbazi huku akiwa na vielelezo vya RB alizochukua baada ya kutishiwa na ndugu wa Erasto!
8.Ndugu wa Erasto wanacholalamika ni namna mali za kaka yao zinavyotapanywa na ndugu hao wa mwanamke, inasemekana mwanzo walikuwa wanafika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi marehemu na mkewe na wanatoka na bahasha, lakini pia licha ya kuwa wao wanasimamia mali bado hawawezi ata kuwalipia ada watoto na ndugu wanapolalamika wanaushia Kutukanwa! Wanasisitiza hawahitaji mali ila hawataki zichezewe na ndugu wa mke sababu baadae watoto watateseka! Na wanafanya kwa upendo
9.Kelvin amesikika leo Akisema anajua ni ndugu wapi wanaupendo na wao watoto, akasema ndugu wa mama ndo wanaupendo nao na sio ndugu wa baba, kama ndugu wa baba wanaupendo wanaousema basi wawe na upendo na mama yake pia aliyegerezani ( salaleeeee hapa dogo kasahau kuwa mama yake kamuua ndugu yao???🤷🏼♀️
10. Chini ya Dc Muro leo wamekubaliana kuondoa mashauri yote yaliyomahakamani ili wasuluhishe jambo hili la mali za marehemu nje yamahakama!!!!!
Naomba niishie hapa kwa niliyosahau wengine mtaongezea, tushushe ushauri hapa kusaidia jambo hili Kuisha salama
Mkuu inaonyesha hujui hii issue vizuri na wala hujaifuatilia kwa karibu..Erasto aliacha wosia Na alitaka 40% ya Pesa yake wapewe wazaz Na ndugu zake Na Miriam alishawapa. Lakini familia haikuridhika ikataka xaidi Na ndo walianzisha chokochoko. Miriam alipokamatwa alimwachia kaka yake aangalie Mali sababu ndugu Wa erasto wanazitaka zote. Huyo mtoto shangqz zake walimweka ndani wakimuhusisha Na kesi ya mama ake. Hao ndugu zake erasto kwanini walifunga nyumba?
Anaweza kuwa pu...Nimetazama clips youtube na nimegundua huyo kijana wa marehemu Msuya ni mjinga!
Mkuu inaonyesha hujui hii issue vizuri na wala hujaifuatilia kwa karibu..
anza upya kupitia zile clip za YouTube na mabandiko kadhaa humu jf toka erasto auliwe
utapata mwanga
Nilitaka kusema hivi, nashukuru umeongea.Familia nyingi upande wa mibaba yetu inakuwaga nuksi tu...... Wajomba afadhali wanajitoaga sana.
Naongea by experience.
Hiyo story ya kuwekwa ndani wewe unaiamini,mtoto kaongea uwongo mwingi sanaErasto aliacha wosia Na alitaka 40% ya Pesa yake wapewe wazaz Na ndugu zake Na Miriam alishawapa. Lakini familia haikuridhika ikataka xaidi Na ndo walianzisha chokochoko. Miriam alipokamatwa alimwachia kaka yake aangalie Mali sababu ndugu Wa erasto wanazitaka zote. Huyo mtoto shangqz zake walimweka ndani wakimuhusisha Na kesi ya mama ake. Hao ndugu zake erasto kwanini walifunga nyumba?
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
Acha tuIla Mungu alinde vizazi vyetu. Kuwa na mtoto Kama huyo kelvin ni hasara. Kwanza Ana element za kipunga
Hahaaaa we nomain God we trust
Hawawezi faham ili kama hawajawakuta... especially familia ambazo zilikuwa vizuri mzazi akawatoka aseeh kimbembe kinaanziaga hapo.Nilitaka kusema hivi, nashukuru umeongea.
By my opinion not fact.Ndugu wa upande wa mama huwa wana msaada mkubwa kuliko upande wa baba.Mzee wangu mwenyewe aliniambia hiki kitu.
Naongea hili by experience.
Hahaaaa we noma
Mawazo yako usinilazimishe yaniingie na mimi mbumbu wewe...... Acheni tamaa!! Hata mimi nimesikiliza yote kumpa kianzio siyo tatizo, tatizo ni kuwa mrithi wa mali ni huyo mama hayupo wanataka kugawana c wasubili akitoka mhusika wao hawana chao hapo acheni kudhulumu yatima.Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya