Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Uku Tanganyika atufati sheria za dini , Tunafata sheria za jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ata ndoa za kiislam wakigombana au kutallikiana kama mmoja wapo ajalizika ukimbilia mahakani ya hakim mkazi, nasiyo mahakama za kadhi.
 
Familia nyingi upande wa mibaba yetu inakuwaga nuksi tu...... Wajomba afadhali wanajitoaga sana.

Naongea by experience.
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
 
Ningekuwa Mimi billionaire ninge mlisisha Mali zote shamba boy au mlinz
 
Erasto aliacha wosia Na alitaka 40% ya Pesa yake wapewe wazaz Na ndugu zake Na Miriam alishawapa. Lakini familia haikuridhika ikataka xaidi Na ndo walianzisha chokochoko. Miriam alipokamatwa alimwachia kaka yake aangalie Mali sababu ndugu Wa erasto wanazitaka zote. Huyo mtoto shangqz zake walimweka ndani wakimuhusisha Na kesi ya mama ake. Hao ndugu zake erasto kwanini walifunga nyumba?
 
Erasto OTE="mbongopopo, post: 33219627, member: 8921"]
Kama kuna mali zilitoka kwa wazazi wa Erasto, basi wana haki ya kuzisimamia hata kama urithi uliachwa.
[/QUOTE]
Erasto aliacha wosia Na hao ndugu walishapewa mgao ambapo erasto aliandika wapate 40%, sasa Wao hawakuridhika walitaka zaidi. Na Wao ndo walianzisha yote Haya.
 
Hayo ndiyo madhara ya kutokuandika wosia.
 
Mkuu inaonyesha hujui hii issue vizuri na wala hujaifuatilia kwa karibu..
anza upya kupitia zile clip za YouTube na mabandiko kadhaa humu jf toka erasto auliwe
utapata mwanga
 
Mkuu inaonyesha hujui hii issue vizuri na wala hujaifuatilia kwa karibu..
anza upya kupitia zile clip za YouTube na mabandiko kadhaa humu jf toka erasto auliwe
utapata mwanga

Achana na huyo kilaza ndo wengi walojajazana kule youtube ambao pamoja na kusikiliza zile clip bado hawajaelewa lolote
 
Kelvin lazima awe upande wa mama yake tu hata kama alihusika kuua shangazi
Na upande wa bibi huwa wanataka wajukuu wawe upnde wa baba
 
Familia nyingi upande wa mibaba yetu inakuwaga nuksi tu...... Wajomba afadhali wanajitoaga sana.

Naongea by experience.
Nilitaka kusema hivi, nashukuru umeongea.

By my opinion not fact.Ndugu wa upande wa mama huwa wana msaada mkubwa kuliko upande wa baba.Mzee wangu mwenyewe aliniambia hiki kitu.

Naongea hili by experience.
 
Hiyo story ya kuwekwa ndani wewe unaiamini,mtoto kaongea uwongo mwingi sana
 
Hana kitalu chochote,hotel na mali ni zake marehemu 100%,anajenga hotel tunamwona hotel ilianza ndogo bdae akawa anawanunua majirani mpka eneo likawa kubwa
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
 
Nilitaka kusema hivi, nashukuru umeongea.

By my opinion not fact.Ndugu wa upande wa mama huwa wana msaada mkubwa kuliko upande wa baba.Mzee wangu mwenyewe aliniambia hiki kitu.

Naongea hili by experience.
Hawawezi faham ili kama hawajawakuta... especially familia ambazo zilikuwa vizuri mzazi akawatoka aseeh kimbembe kinaanziaga hapo.
 
Hahaaaa we noma

Sasa hebu tueleze kwa kina je baada ya msiba wa erasto ni kweli miriam aliwatenga ndugu wa mume? Nani alitoa ile asilimia 40% ya wosia km hakuwa karibu nao? Na nimeona mahali kwamba eti alimua wifiye kwa kuwa alikuwa na documents za mali......Mali zipi hizo? Hizihizi zinazoonekana au zingine za Siri??
 
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
Mawazo yako usinilazimishe yaniingie na mimi mbumbu wewe...... Acheni tamaa!! Hata mimi nimesikiliza yote kumpa kianzio siyo tatizo, tatizo ni kuwa mrithi wa mali ni huyo mama hayupo wanataka kugawana c wasubili akitoka mhusika wao hawana chao hapo acheni kudhulumu yatima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…