Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

kwa jinsi familia ya akina msuya wanavyoonesha uchu wa mali bora mjomba alivyopewa kusimamia mali nadhani kwa miaka sita kusingebaki na mali, mijitu imepewa millions 400 bado imejawa na uchu,nawashangaa mnaosema dogo hajitambui kama ndivyo leo serikali ingeingilia mgogolo wa miaka sita bila dogo kusimama kujenga hoja hadharani.
 
Mauzauza ni mengi kwenye hiyo familia,mariam alichagua maisha anayoishi sasa kwa tamaa ya mali
 
We ndo kilaza Namba Moja Fala wewe, tu namjua erasto kabla hajawa bilionea fala wewe, sina haja ya kuskiliza clip cz nalifahamu sakata lote. Dada zake erasto wana uchu na mali ya kaka yao na ndo wanawashauri vibaya wazazi. Unamwita mtoto wa mwenzio punga wakati we ndo punga. UOTE="Mrs Bishanga, post: 33229645, member: 154080"]
Achana na huyo kilaza ndo wengi walojajazana kule youtube ambao pamoja na kusikiliza zile clip bado hawajaelewa lolote
[/QUOTE]
We
 
Wana uchu Wa Mali ya marehemu haswa, na walishapewa mgao Wao, watu tu hawajui, familia ya erasto ndo tatizo hapa
 
Wana uchu Wa Mali ya marehemu haswa, na walishapewa mgao Wao, watu tu hawajui, familia ya erasto ndo tatizo hapa
wanaonekana tu mimi sijaona tuhuma mbaya kwa wajomba zaidi ya kuwambia wamejazana kwenye hotel,ila wangekuwa wao wangekuwa wamegawana hata watoto wangedhulumiwa mimi nasimama na wajomba
 
We wa mkoani huwezi ukaelewa kitu.

Hio hotel Erasto aliyopewa na baba yake ni ipi?
Hilo ni kwa familia yenu. Usi generalize. Umeshaambiwa Erasto alipewa kitalu cha Madini pamoja na hoteli na Baba yake kama kianzio cha maisha. Halafu unataka wajomba ndio waendeshe miradi. Jitathmini upya
 
Hiyo hotel unaifahamu? Kwa biashara ilivyosasa hiyo hotel haiwezi hata kujenda "self"ya kawaida
 
Ndugu wa mama ndio ndugu halisi hawa wengine majina tu yanafanana
 

Nimependa hapa mwisho
 
Sasa angefanyaje wakati dadake alikuwa analiwa[emoji41][emoji41][emoji41]
 

Natamani kujua ilikuwaje mpendwa
 
Ha ha haaaa watoto wa ushuani vichwa vinakuwaga vitupu
Licha ya ukweli kwamba katika familia nyingi kwa uchunguzi wangu ndugu wa mama ndio huwa wanaupendo na wanajali sana, kijana wa miaka 23 ni mkubwa sana na anapaswa kujua ni yapi ya kusema na yapi ya kuweka moyoni na kunyamaza nayo.

Hapo kweli kabisa naamini hawa watoto wa mayai na soseji uwezo wa kufikiri ni changamoto.
 

Ww hujaelewa. Sasa kwa nini msuya wasiombe Mali zigaiwe upya kwa wanae wakati mtoto wa kambo wa Miriam hata Ada alinyimwa na mamake wa kambo na huyo mjomba. Kwanza toka lini kaka yangu afe halafu wifi nae awe hayupo halafu watoto na mali wakabidhiwe kwa wajomba wakati ukoo wa baba bado wako hai? Hiyo mila Nadhani wanayo warita walio kosa busara. Hata Kama walikuwa hawana maelewano walikosa kutafuta mzee wa hekima Huko kwa Akina Miriam aje kwa Akina msuya napo atafutwe wa hekima ili wamtafute mtu wa upande wa baba ambaye wanamuona neutral atakayesimama kuwaangalia watoto na Mali wakat mama Yao hayupo au wakati wakisubiri taratibu zingine? Kwa ukoo nilionao siku nimefiwa na mume halafu kuwe na misuguano ukweni halafu nipate matatizo ya kutokuwepo home si baba yangu Wala mama yangu angenikubalia eti kaka yangu ndo awe anakatiza Kordo za hotel za marehem mume wangu atiii ananisaidia kusimamia. Kiuwazi kabisa wenye uchu wa Mali ni warita. Mtu mzima tena wa kiume na akili zako huwezi kuwa busy kwenye Mali za marehemu shemeji tena kwa ubabe eti unamsaidia dada.
 
We[/QUOTE]

Mjomba kelvin katafute vyakoooo Huko kwa bwa shemeji sio kwakoo. Uwe japo na haya. Povuuuu kubwa kwa Mali za shemejio. Hataki wanawe wagawiwe kila mtu atoke n chake kwa kuwa ushamuweka kelvin kiganjani unataka asimamie Mali zote yeye pekee ufaidi. Halafu Miriam alishakiri ni muuaji acha atumikie dhambi zake.
 
Mtoto kapewa dozi za sumu za kuwachukia ndugu za upande wa Babaye mpaka anashindwa kuongea cha maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…