Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
kwa jinsi familia ya akina msuya wanavyoonesha uchu wa mali bora mjomba alivyopewa kusimamia mali nadhani kwa miaka sita kusingebaki na mali, mijitu imepewa millions 400 bado imejawa na uchu,nawashangaa mnaosema dogo hajitambui kama ndivyo leo serikali ingeingilia mgogolo wa miaka sita bila dogo kusimama kujenga hoja hadharani.