Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa uandishi wako nahisi wewe ni mwalimu, hilo tatizo limekugusa
michango kwani ni laki ngapi?
Nadhani ubunifu tu unahitajikaJe wanao lipa nao wasipo lipa itakuaje?
KAZI ni kipimo cha UTU
hapana sio Mwalimukwa uandishi wako nahisi wewe ni mwalimu, hilo tatizo limekugusa
michango kwani ni laki ngapi?
Huko kwa mabepari halisi Marekani na Ulaya watoto wote shuleni wanapewa chakula kwa gharama za serikali.Ifike wakati tuishi kibepali tu, huna hela hakuna kula.
Umaskini sio wakuendekeza sana
Serikali inatakiwa kuwapa wanafunzi wote wa shule za umma chakula.Mzazi alipe, sasa jasho la mwenzako ndio unataka liliwe?!
Chakula cha wanafunzi mashuleni inapaswa kuwa wajibu wa serikali.Wazazi ndo changamoto hapo.
Ubishi wa kijinga na kufata mkumbo, kila mchango anahisi anaibiwa.
Mwalimu akuibie nini hasa kama sio kuwaonea tu hawa watumishi wa umma.
Hata Ulaya wazazi hawachangii chakula kwenye shule za umma, ni wajibu wa serikali kuwapa wanafunzi chakula bora chenye virutubisho.Haya mambo ya kutokuchangia mnayaweza sana. Waswahili, huwa hamtaki kuchangia kabisa ingawa ni mtoto wako
Ila sadaka wanatoa sana wwkifikiri pepo yao
Charity begins at home jamani ila wengi hawaelewi
Mwalimu atasemwa kwa kila mabaya
Ni huzuni....Shida kubwa iko hapa, kuna matanzania yanazaa kama nguruwe wakati uwezo duni, yanaishia kutesa watoto kwa lishe duni huduma zingine mbovu mixer vipigo vya stress za maisha
Ni wajibu wa serikali kuwapa wanafunzi chakula mashuleni, pia ni wajibu wa serikali kuhamasisha uzazi wa mpango kwa raia wa nchi.Mtu unazaa ovyo bila mpangilio watt 6 ,unakaa nyumba ya kupanga au kwako .kipato n full kuunga unga ,hapo lzm watt wasile shule na kaptula na viatu vyote vina matobo ,,begi zuri mtt anayaonaga Kwa wenzake ,nauli ya kwenda shule shida mtt anagombana na makondakta Kila cku mpk wamemkariri ....aiseee tuzae Kwa mpngo waalimu tunawaonea Bure nao pia wanachangamoto zao njee ya huo uwalimu..
Ni wajibu wako ww na mm pia mkuu..mm Nina mmoja na sioni dalili ya kuongeza ,mkuu ww uko na wangapini wajibu wa serikali kuhamasisha uzazi wa mpango kwa raia wa nchi.
Nikijibu swali lako, ni sahihi kutopewa chakula sababu hawajalipia, haitakua sawa kwa waliolipia.Hii ni kwa baadhi ya Shule za Msingi zinazofanya hivyo.
Hii inatisha sana kwa sababu watoto hutia huruma wakati wengine wakiwa nje na mawazo Mengi sana.
Niliwahi kufanya utafiti kidogo wa kuwauliza watoto kuwa wanafikiri ni kwa nini wazazi hawawalipii Chakula? Majibu yao yalikuwa tofauti tofauti.
Wengi wao walieleza kuwa wazazi Hawana kipato cha kutosha.
Wengine walisema wazazi wao wenyewe wakiwa nyumbani wanakula milo yote mitatu lakini wanashindwa kuwalipia pesa kidogo ya Chakula.
Wengine walisema baba zao wanajua ratiba zote za Mechi za mipira lakini hawajui kama watoto hawapati chakula cha mchana Shuleni.
Walieleza kuwa wanajisikia vibaya sana kwa sababu wanashindwa kuelewa hata masomo darasani kwa kuwa na njaa.
Kama Inawezekana basi ule mfumo wa zamani wa kulima mahindi shuleni urudi ili watoto wote wapate chakula Shuleni.
Hii inaumiza sana Serikali tunaomba mlifanyie kazi.
Kama tunaweza kutoa msaada wa mahindi nchi za Jirani basi Tusaidie na watoto wetu.
Wanafunzi wana njaa sana.
Nilikuwa na mengi ya kusema lakin hayatakuwa na msaada acha nibaki nayo tuHii ni kwa baadhi ya Shule za Msingi zinazofanya hivyo.
Hii inatisha sana kwa sababu watoto hutia huruma wakati wengine wakiwa nje na mawazo Mengi sana.
Niliwahi kufanya utafiti kidogo wa kuwauliza watoto kuwa wanafikiri ni kwa nini wazazi hawawalipii Chakula? Majibu yao yalikuwa tofauti tofauti.
Wengi wao walieleza kuwa wazazi Hawana kipato cha kutosha.
Wengine walisema wazazi wao wenyewe wakiwa nyumbani wanakula milo yote mitatu lakini wanashindwa kuwalipia pesa kidogo ya Chakula.
Wengine walisema baba zao wanajua ratiba zote za Mechi za mipira lakini hawajui kama watoto hawapati chakula cha mchana Shuleni.
Walieleza kuwa wanajisikia vibaya sana kwa sababu wanashindwa kuelewa hata masomo darasani kwa kuwa na njaa.
Kama Inawezekana basi ule mfumo wa zamani wa kulima mahindi shuleni urudi ili watoto wote wapate chakula Shuleni.
Hii inaumiza sana Serikali tunaomba mlifanyie kazi.
Kama tunaweza kutoa msaada wa mahindi nchi za Jirani basi Tusaidie na watoto wetu.
Wanafunzi wana njaa sana.
Mimi binafsi sioni kosa la wazazi maana hawana uelewa na mchakato wa kujifunza na kupata elimuWazazi ndo changamoto hapo.
Ubishi wa kijinga na kufata mkumbo, kila mchango anahisi anaibiwa.
Mwalimu akuibie nini hasa kama sio kuwaonea tu hawa watumishi wa umma.