Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Mimi binafsi nilimwambia baba yangu asilipe chakulaHaya mambo ya kula shuleni yameanza lini, mbona kipindi cha nyuma misosi yote ni kwenu, shule ni kitabu, fimbo, kucheza na fagio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi nilimwambia baba yangu asilipe chakulaHaya mambo ya kula shuleni yameanza lini, mbona kipindi cha nyuma misosi yote ni kwenu, shule ni kitabu, fimbo, kucheza na fagio.
Fanya vizuri utafiti wakoHuko kwa mabepari halisi Marekani na Ulaya watoto wote shuleni wanapewa chakula kwa gharama za serikali.
Hakuna cha kulaumu,Mimi binafsi sioni kosa la wazazi maana hawana uelewa na mchakato wa kujifunza na kupata elimu
Mitaani tuna walimu waliosoma hadi level ya degree lakini hawafanyi tafiti za kutosha ili kupata suluhisho la haya yote badala yake mipango mingi hasa shule za vijijini inapangwa kwa mihemko hasa na wanasiasa wa vijijini wasiokuwa na ujuzi wowote mwisho wa siku uungwaji wa mkono unakuwa mdogo maana mengi yanakuwa ya kisiasa na lazima kuwepo na utofauti wa kisiasa na hata wazazi wanaweza wakakataa kusapot kwa sababu za utofauti wa kiitikadi za siasa
Kwa hyo tufanyeje mkuuHakuna cha kulaumu,
Hio sababu ya watu hawana elimu imepitwa na wakati,Kwa hyo tufanyeje mkuu
Huo ni wajibu wao na ni lazimaHata Ulaya wazazi hawachangii chakula kwenye shule za umma, ni wajibu wa serikali kuwapa wanafunzi chakula bora chenye virutubisho.
Ukiendelea kuisubiri hii serikali ya ccm ikufanyie jambo utachelewa sanaChakula cha wanafunzi mashuleni inapaswa kuwa wajibu wa serikali.
Una point hapo lakini kwa makasiriko hayo na lugha uliyotumia umepoteza kila kitu. Anyway, huenda watakujibu.Walimu hasa wakuu kama siyo ni wapumbavu sana,wanawezaje kukaa na watoto ambao jikoni hawaendi kula kwa sababu hawajalipiwa michango wala nyumbani hawaendi eti ndiyo mbinu ya kumfanya mzazi alipe...wauaji wakubwa,unamshindishaje njaa mtoto mdogo asiyejua hili wala lile? Ualimu ni usenge tu.
Hiyo elf 1 ya mchango wa chakula ni kwa siku, wiki, mwezi au mwaka 😶 Hance MtanashatiHalafu ni elfu 1 tu .
Wewe unaweza kutumia elfu 1 kwa mwezi mzima kama pesa ya kula?Hiyo elf 1 ya mchango wa chakula ni kwa siku, wiki, mwezi au mwaka 😶 Hance Mtanashati