Je ni sahihi wanafunzi wa shule za msingi za serikali kupewa chakula wale tu waliolipia pesa ya chakula na wengine kuzunguka zunguka tu nje?

Hakuna cha kulaumu,
 
Kwa hyo tufanyeje mkuu
Hio sababu ya watu hawana elimu imepitwa na wakati,

Ina mana mzazi huelewi mtoto wako inabidi ale milo 3 kwa siku? Sometimes wapuuzi na wazembe hujificha kwenye kichaka hicho
 
Hata Ulaya wazazi hawachangii chakula kwenye shule za umma, ni wajibu wa serikali kuwapa wanafunzi chakula bora chenye virutubisho.
Huo ni wajibu wao na ni lazima
Lakini tunaona hela nyingi zinavyopigwa na hawa watu
Hawana huruma kabisa
Kila sehemu ni upigaji hata hela za watoto
Ni kweli ni wajibu wa serikali
 
Walimu hasa wakuu kama siyo ni wapumbavu sana,wanawezaje kukaa na watoto ambao jikoni hawaendi kula kwa sababu hawajalipiwa michango wala nyumbani hawaendi eti ndiyo mbinu ya kumfanya mzazi alipe...wauaji wakubwa,unamshindishaje njaa mtoto mdogo asiyejua hili wala lile? Ualimu ni usenge tu.
 
Una point hapo lakini kwa makasiriko hayo na lugha uliyotumia umepoteza kila kitu. Anyway, huenda watakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…