Je, ni salama kujenga karibu na mgodi?

Je, ni salama kujenga karibu na mgodi?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Habari wakuu,

Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa chini.

Kama ni kweli kushachimbwa chini kwa chini je ni salama kujenga nyumba kwenye ardhi tabaka la juu?
 
Back
Top Bottom