MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
sawaaaKama ana juhudi inatosha kabisa wewe kumsapoti kimawazo na ushauri mkapiga hatua wote, tulia hapo ulipo huko nnje kuna sisi mafisi utajuta binti.
Atakupeleka wapi?Anyways,.. kupanga ni kuchagua.Wapendwa habari zenu, kuna suala nimelifikiria hapa naomba nipate ku-share na ninyi.
Kuna hii hali unakuta unakuwa kwenye uhusiano na mtu unayempenda kwa dhati, mnaelewana na mnafurahia kuwa pamoja vizuri tu. Lakini kadiri muda unavyokwenda, unaanza kujiuliza kuhusu maisha yenu ya baadaye kwa sababu mwenzako anakua labda haonekani kuwa na mipango inayoeleweka au juhudi za kufikia malengo fulani.
Hapa ndipo changamoto inapoanza. Unampenda na hutaki kumpoteza, lakini pia una ndoto zako, malengo yako na maisha unayotamani kujenga.
Kwa upande mwingine, inawezekana mtu akawa hana mafanikio makubwa kwa sasa lakini ana juhudi, anajitambua na anapambana kubadilisha hali yake.
Sasa je, ni sawa kuendelea na uhusiano kwa sababu ya upendo pekee, hata kama huoni mwelekeo wa maisha yenu ya baadaye? Au ni muhimu kuangalia zaidi ya hisia na kutathmini kama mnaweza kujenga maisha pamoja.
Which is which yani? Nisaidieni mimi jamani nimekwama kiukweli kwenye hili.
Unaweza shangaa huyu anapoamua kuondoka tu, mshkaji akabaki mwenyewe au akapata manzi mwingine ndio unaona mambo yanaanza mnyookea mshkaji. Kuna watu tunaingia nao kwenye relationships huwa wanakuja kuwa viwingu vya giza na mbaya zaidi wewe unaona kama uko fresh kumbe umekwama mpaka mtu aondoke ndio kama akili inashtuka sasaKama Bado anapumua Mpe muda
They always think grass is green everywhere. Baadae ndio wanakuja shtuka the grass is green where you water themKama ana juhudi inatosha kabisa wewe kumsapoti kimawazo na ushauri mkapiga hatua wote, tulia hapo ulipo huko nnje kuna sisi mafisi utajuta binti.
😅😆😁😄😃😃Ushaanza kujipata ashakuwa sio level zako.
Tatizo la wengi sio kwamba hawana bahati , wengi wanakosa subira tu ya kuimwagilia bahati yaoThey always think grass is green everywhere. Baadae ndio wanakuja shtuka the grass is green where you water them
Kauli ya mwisho nilimwambia yule mama ni hii "umefanya wrong decision, at the very very wrong time, acha muda uthibitishe"Tatizo la wengi sio kwamba hawana bahati , wengi wanakosa subira tu ya kuimwagilia bahati yao
Ila binti kama huyo mtoa mada kwa faida ya mwamba aliye nae ni bora tu binti amwache ili jamaa apate focus nzuri ,hasira na uchungu wa kuzifikia ndoto zake tu, hapo pakacha limeshavuja.Kauli ya mwisho nilimwambia yule mama ni hii "umefanya wrong decision, at the very very wrong time, acha muda uthibitishe"
vipi umepata altenative muache akafie mbele ninyi wanawake mna matatizoWapendwa habari zenu, kuna suala nimelifikiria hapa naomba nipate ku-share na ninyi.
Kuna hii hali unakuta unakuwa kwenye uhusiano na mtu unayempenda kwa dhati, mnaelewana na mnafurahia kuwa pamoja vizuri tu. Lakini kadiri muda unavyokwenda, unaanza kujiuliza kuhusu maisha yenu ya baadaye kwa sababu mwenzako anakua labda haonekani kuwa na mipango inayoeleweka au juhudi za kufikia malengo fulani.
Hapa ndipo changamoto inapoanza. Unampenda na hutaki kumpoteza, lakini pia una ndoto zako, malengo yako na maisha unayotamani kujenga.
Kwa upande mwingine, inawezekana mtu akawa hana mafanikio makubwa kwa sasa lakini ana juhudi, anajitambua na anapambana kubadilisha hali yake.
Sasa je, ni sawa kuendelea na uhusiano kwa sababu ya upendo pekee, hata kama huoni mwelekeo wa maisha yenu ya baadaye? Au ni muhimu kuangalia zaidi ya hisia na kutathmini kama mnaweza kujenga maisha pamoja.
Which is which yani? Nisaidieni mimi jamani nimekwama kiukweli kwenye hili.
Yeahhh. Heart break kwa wachache huwa ni catalyst ya ku reach out ur dreams. Ila wengi nimeona ikiwaharibu kabisa maisha yao. Na hawa wanawake huwa wanafanya hilo kwa lengo la kukuona unapotea zaidi ili wapate validation ya kuthibitisha uamuzi waliochukua like "umeona maisha yake? Ndio maana niliamua kumuacha" . Ujue hawa watu wanapoona ishu haziend huwa wanafikiri mwanaume hafanyi juhudi.Ila binti kama huyo mtoa mada kwa faida ya mwamba aliye nae ni bora tu binti amwache ili jamaa apate focus nzuri ,hasira na uchungu wa kuzifikia ndoto zake tu, hapo pakacha limeshavuja.
Kabisa na mpaka kuileta hapa kuna namna anaonekana hampi jamaa utulivu na focus , hata akiendelea nae naona itakua usumbufu tu kwa mwambaYeahhh. Heart break kwa wachache huwa ni catalyst ya ku reach out ur dreams. Ila wengi nimeona ikiwaharibu kabisa maisha yao. Na hawa wanawake huwa wanafanya hilo kwa lengo la kukuona unapotea zaidi ili wapate validation ya kuthibitisha uamuzi waliochukua like "umeona maisha yake? Ndio maana niliamua kumuacha" . Ujue hawa watu wanapoona ishu haziend huwa wanafikiri mwanaume hafanyi juhudi.
Sema akimwamcha jamaa kama ana akili ,atakaa sawa
sahihiKama hana malengo na hashauriki ukiona vipi achana naye ujipange upya.
sawaa🙁Sema ujue nini hata tukikushauri kwa namna gani kwa kauli yako niliyoona kwenye kichwa Cha habari apo juu wewe ushamchoka jamaa kwaiyo ni Bora umuache tuh usije kuja kumletea dharau Bure uyo jamaa yakawa mengine maana wanaume dharau hatoziwezi kabisa Wewe muache tuh uyo jamaa Mungu atamsaidia atakuja tuh kukaa sawa mbeleni uko