Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Niongeze Tena "usidharau punyeto kipochi manyoya ni tunda la msimu" 😂 Wekeza hela kwenye assets hoja ya msingi inaonesha 60k kwako ni hela kubwa kuitoa na inakuuma kwahyo achia wenye uwezo mpge chini na wahenga wanasemaga "kenge hasikii mpaka akatwe masikio"
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
 
Mkuu huyo meme mdangaji mwanamke anae kuhitaji haku wekehi utaratibu wa kumpatia pesa wala hawezi kutamka neno ni hudumie.
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hil
Matumizi mabaya ya neno binti!!! Usimfananishe binti na huyo Malaya.
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
🤣🤣🤣Mkuu 60k nayo ni hela?
 
Mdogo wangu wanawake NI Kama mavi ya NG'OMBE hawajui wanataka nini either yakauke au yaendelee kuwa mabichi

Hiyo 60k mtumie b mkubwa utapata baraka
Naunga mkono hoja, wanawake ni uwalo isipokuwa mama zetu tu
 
Kwisha, ashajua unampenda na asemacho unafanya.
Mbona hiyo ni red light kabisa mkuu, unashindwa kusoma alama za nyakati, kwanza how comes dem akajipangia umpe kiasi gani kila mwezi, kwa kazi gani anayokufanyia.

Kua makini na umakinike, wewe kazi yako ni kutuma 60k per month na huduma ndogondogo, maana kaona hiyo angle unamudu, kuna mwingine kazi yake ni kuboost mtaji wake, mwingine mzee wa mjegeje kazi yake ni kutupia risasi adake mimba ambayo itakua ya mmoja kati ya ninyi wawili wa mwanzo.
 
Mdogo wangu wanawake NI Kama mavi ya NG'OMBE hawajui wanataka nini either yakauke au yaendelee kuwa mabichi

Hiyo 60k mtumie b mkubwa utapata braka
Unasemaje hajui anataka nini wakati ipo wazi kabisa anataka 60K Kila mwezi?
 
Lipia utelezi si unataka kuwa peke yako, km hutatoa mtashea kuminimize cost.
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
Ukiachana na nyapu nini ana offer kwako?
 
Mbona yupo cheap hivyo...elfu 60??
Mpe ni hela ndogo sana kulinganisha na matumizi ya mwanamke....ukipenda sex na kuhudumia uwe tayari
So unakili kabisa relationship imeshakuwa ni biashara
 
Back
Top Bottom