Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
Kama sijaelewa yaani anakupangia umpe elf 60, Kwani mahusiano yenu ni ajira? yaani anaanzaje kujipangia eti unipe elf 60 kila mwezi, kwa kazi gani anayofanya kwako????? Bora mtumie mama yako akupe baraka
 
Umependa timiza wajibu mapenzi ni gharama siyo yale ya zamani. Kumhudumia ni wajibu wako kwakuwa imempenda na kakupenda.
Hapa umpi ushauri mzuri ujue 60K kwa mwaka ni 720k ambayo unaweza kabisa kufungua biashara kabla ujamwambia hivyo unatakiwa umuulize yeye anafaidika na nini na huyo manzi yake nje ya nyapu kiasi ambacho atoe hiyo hela
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
Mpe elfu kumi nyingine mwambie aombe wazazi wake
 
Hiyo mbana Hela ndogo sana, jiandae kuchapiwa. Sasa akitaka simu ya laki 8 kwenda juu utanunua baada ya muda Gani.

Kumbuka kama unavyopenda kufungua kufuri, hiyo ni bei ya kufuri mbili tu za kawaida.
Kama demu kweli anakupenda hawezi kukupangia budget za kumpa unaweza ukampa kiasi kingi na still ukachapiwa vile vile hivi unawajua hivi viumbe ogopa sana kiumbe kinachoendeshwa na hisia
 
Mkuu hivi viumbe sio vya kuvionea huruma akiipata nafasi akikubananisha hakuna utakachoongea ukasikilizwa binafsi nimeamua niishi nao kwa kanuni zangu Mimi Kama hawezi mlango uko wazi Wana mambo ya ajabu sana
Huo ndio ustrong mwanamke anatakiwa uishi nae kwa akili na namna unavyotaka wewe sio anavyotaka yeye ukiishi kwa mamlaka hays utakuja kupata mwanamke anaekuheshimu
 
Nimezingatia ushauri
Huo wa ushauri wa mimba usiufuate utajuta maisha yako yote zaa na mwanamke ambaye ni sahihi kwako ukizaa na mwanamke upumbavu watoto wako ndio wataumia, zaa na mwanamke utakayemuoa ili uondokane na malezi ya nje ya ndoa, huyo mwanamke wako bado una muda wakumsoma usikurupuke ndio maana nikakuuliza ana kuoffer nini ukiachana na mzangamuo kiasi ambacho uwe una mpa 60K kwa kila mwezi
 
Km mzagamuo anakupa, na unaenda kwake, kwanini usilipie?
Ko unataka umchezee afu upite hivi? Toa hele wee. Lol
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
Wewe mwenyewe mpaka kuleta hili suala hapa ushaona si sawa.

Kwa nini unang'ang'ania kufanywa mtaji?
 
Msiendekeze sana baraka,mwenzio nyapu anapata mahala anapopapenda....unajua raha ya kusex na mtu umpendae?

Maisha ni sex pia.... tukubali tukatae.Mshauri ajikune anapopaweza au aoe kabisa
maisha ni sex sisi tunalipa haya nyinyi mnalipa nini...????????
 
Mkuu chama cha wanaume bahiri na cha wakataa ndoa tunakushauri nunua tu malaya ili kuepuka usumbufu kama huo otherwise usije kulia hapa maana huyo manzi yuko fair sana 60k sawa na elfu 2 kwa siku yaani sahani moja ya wali na maji unapata mbususu safi.
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
Mpe tu
 
tembo hashindwi kubeba mkonga wake
 
Back
Top Bottom