Je, ni sawa kulipia mahari yote hii ikiwa posa imeshatolewa 500k?

Wote wabena hao halafu Kijiji kimoja
Achana iyo mke mzee suti za kaka sijui dada mambo yakiwaki hayo😂😂😂😂 yani iyo mahari nikiangalia naona kama sio jambo serious!!!! Mahari milioni1 alafu ng’ombe na zaga zingine kibao😂😂😂😂
 
Hayo ni mambo ya Mila na tamaduni ongea Mshenga aongee nao au huyo Binti ashauriane na mdogo wako waone watayajenga vipi...

By the way wewe uliona ngapi ndio sahihi ?

Sababu tukishaweka monetary value nadhani hakuna pesa yoyote ambayo ni value ya binadamu (hususan binadamu uliyempenda)
 
Kama ningelikuwa ni mzazi wa uyo Binti , ningemwambia alete kiasi alichonacho kama shukrani TU na kufuata Mila za Africa. Maana hakuna pesa yenye thamani ya mwanangu na kamwe siwezi kutafuta utajiri kwa kumuuza mwanangu .
 
Achana iyo mke mzee suti za kaka sijui dada mambo yakowaki hayo😂😂😂😂 yani iyo mahari nikiangalia naona kama sio jambo serious!!!! Mahari milioni1 alafu ng’ombe na zaga zingine kibao😂😂😂😂
Dogo kashajikatia tamaa maana wanamkomoa
 
Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?

View attachment 3158790
Mbona kama wanataka kufungua mnada/au soko dogo mzee🤣mahitaji yote hayo

1.je huyo demu ni bkira
2.je upo vizuri kiuchumi

Ushauri wa busara
👉Waambie wakukope utawaletea nyingine Baadae. Hiyo ndo imetoka(kidogo kidogo)
👉Chunga sana usikope kwa ajili ya kutimiza hivo vitu
👉Usifanye vitu ku-impress watu huku wewe ndo unaumia kumbuka hauoi ukoo unamuoa mtu mmoja(mkeo)
👉Ata maandiko yanasema iweni na kiasi
👉Jipange

Ushauri wa kijinga
👉Mpige mimba akiwa huko huko kwao🤣hadi watoto watatu watamuachia wenyewe
👉Tulishakubaliana mwanamke hapewi chochote zaidi ya penis na mimba🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…