Je, ni sawa kulipia mahari yote hii ikiwa posa imeshatolewa 500k?

Je, ni sawa kulipia mahari yote hii ikiwa posa imeshatolewa 500k?

Hiyo namba 1 sijaielewa kuvunja ukoo? kwani anaoa ndugu yake?
 
Aisee sio poa kabsa, kuna wazazi na ndugu hawafikirii kuna maisha baada ya ndoa.
 
Posa Gani ya 500k? Mimi nikitoka 20k tu. Huwa mnafeli sana mambo yakishachachuka ndo mnakuja mbiombio huku ulipaswa muulize tangu mwanzo nisawa kutoa 500k posa?

Laki5 ni mahali tosha kabisa
Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?

View attachment 3158790
 
Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?

View attachment 3158790
Kuvunja ukoo!!! Ina maana anaona mtu ambaye wana nasaba naye ya kindugu i.e mtoto wa mjomba, shangazi, Mama mdogo etc?
Huo msamiati niliwahi kuukuta Kanda ya ziwa
 
Kama ningelikuwa ni mzazi wa uyo Binti , ningemwambia alete kiasi alichonacho kama shukrani TU na kufuata Mila za Africa. Maana hakuna pesa yenye thamani ya mwanangu na kamwe siwezi kutafuta utajiri kwa kumuuza mwanangu .
Is that what they are doing ? Kutafuta utajiri ? Ndio maana nikasema tangia mwanzo sababu hana uwezo aongee na huyo binti plus mshenga waone ni vipi watayajenga (hayo mambo ni mila na desturi) hakuna pesa yoyote chini ya jua ambayo ni equivalent na binadamu wa aina yoyote yule.... Na kama anazo / angekuwa nazo unatoa ili kukamilisha mila na imani za watu na kama huyo mzee ana busara hata hao mbuzi n.k. mnaotoa hata kama mkitoa anaweza akawarudishia, Ingawa huenda vingine hapo sio vyake ni vya makaka wajomba na mazindiko.... To each their Own na chochote kinachofanyika katika mila is showing appreciation....

Sasa wewe fikra zako huenda ni bora zaidi kwa mambo ya sasa, huenda hao wazee na utamaduni wao bado fikra zao ni tofauti; kwahio kuwapangia waje kwenye fikra tofauti it takes time and generations...

To each their own...
 
Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?

View attachment 3158790
Kosa lilianzia kwenye posa ya laki tano, kwa kifupi mdogo wako aliamua kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. Posa inaanzia Shilingi elfu 10 mwisho laki moja. Hiyo laki tano yote ilikuwa ya kazi gani au alifikiri itahesabiwa kwenye mahari? Anyway Mpe pole ndio ukubwa huo atavuka tu
 
Yaani vyote hivyo uwalipe wazazi wake na bado ubebeshwe zigo la kuja nalo ndani kwako uanze kulitunza, kazi kwelikweli endeleeni kuoa.
Mkuu usinisahau Kadi ya michango wa harusi
 
Back
Top Bottom