Je, ni sawa kulipia mahari yote hii ikiwa posa imeshatolewa 500k?

Je, ni sawa kulipia mahari yote hii ikiwa posa imeshatolewa 500k?

Achana iyo mke mzee suti za kaka sijui dada mambo yakiwaki hayo😂😂😂😂 yani iyo mahari nikiangalia naona kama sio jambo serious!!!! Mahari milioni1 alafu ng’ombe na zaga zingine kibao😂😂😂😂
Wazee wanataka kuondokana na umasikini
 
Hio inventory yote mzee si afungue duka... kuliko kutoa rasilimali yote hiyo ukute na binti hana hata bikra.. mi mshasema mahali haitakiwi kuzidi laki 1.
 
Mkuu huyo dogo alikosea! Yaani Posa 500k yote hiyo?
Wao wamekadiria mahari kubwa kwa kuamini dogo yuko vizuri kifedha!
Hata hivyo usiogope mahari ni bargaining hasa ukimpata Mshenga mzuri ambaye anajua kuongea!
Lakini vile vile dogo hakuwa wazi kwa bint kumweleza ukweli wa maisha yake! Mara nyingi muoaji ndiye anamwambia bint uwezo wa kulipa mahari then bint ndiye anakwenda kuwatonya wazazi wake kiasi cha mahari alichonacho.
Hata hivyo tafuteni nyingine 500k harafu semeni hizo nyingine tutaleta ili dogo apate ruhusa ya wazazi wa bint ya kufunga ndoa!
Hapo sasa inategemeana na ufundi wa Mshenga wa ku bargain!
Kwa desturi za makabila yaliyo mengi mahari hailipwi yote.
Namtakia dogo afanikiwe malengo ya kuwa na mwenzi wa maisha yake!
 
Mbona mbuzi zinajirudia mara tatu?

Anyway, hata kama n bikra siwezi kutoa zaidi ya 500k
 
Maana nzima ya mahari inaharibika.

Nae kiherehere kimemponza, we posa tu unaweka laki 5, wenzako ikizidi saana ni kaelfu 50 na tena tunaweka kishingo upande hiyo fifte.

Dawa ni kumchukua binti yao, uunajaza mimba ya kwanza, unawasikilizia, unajaza ya pili, wakijitia kicjwa ngumi unajaza ya 3, uone kama haujapewa bure na ukafungashiwa na mdogo wake kama nyongeza.
 
Back
Top Bottom