Mahali wamechapisha kweli wakwe zako wanaijua hela kwanza ushajichanganya posa huwa tunatia lakiWadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
View attachment 3158790
😂😂😂😂😂 upuuzi sanaDogo kashajikatia tamaa maana wanamkomoa
🤣Laki kubwa hivo 25 tu inatoshaMahali wamechapisha kweli wakwe zako wanaijua hela kwanza ushajichanganya posa huwa tunatia laki
Mahali wamechapisha kweli wakwe zako wanaijua hela kwanza ushajichanganya posa huwa tunatia laki
InafikirishaBiashara ya utumwa haijaisha bado.
Kwanini labda yule mwanamama anaitwa Salma Kikwete??Hiyo namba 1 sijaielewa kuvunja ukoo? kwani anaoa ndugu yake?
Inafikirisha
Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
View attachment 3158790
Kuna mjomba wetu ameoa kwenye ukoo wa BintiKwanini labda yule mwanamama anaitwa Salma Kikwete??
Hawa wanauza mtoto waoPosa Gani ya 500k? Mimi nikitoka 20k tu. Huwa mnafeli sana mambo yakishachachuka ndo mnakuja mbiombio huku ulipaswa muulize tangu mwanzo nisawa kutoa 500k posa?
Laki5 ni mahali tosha kabisa
Kuvunja ukoo!!! Ina maana anaona mtu ambaye wana nasaba naye ya kindugu i.e mtoto wa mjomba, shangazi, Mama mdogo etc?Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
View attachment 3158790
Is that what they are doing ? Kutafuta utajiri ? Ndio maana nikasema tangia mwanzo sababu hana uwezo aongee na huyo binti plus mshenga waone ni vipi watayajenga (hayo mambo ni mila na desturi) hakuna pesa yoyote chini ya jua ambayo ni equivalent na binadamu wa aina yoyote yule.... Na kama anazo / angekuwa nazo unatoa ili kukamilisha mila na imani za watu na kama huyo mzee ana busara hata hao mbuzi n.k. mnaotoa hata kama mkitoa anaweza akawarudishia, Ingawa huenda vingine hapo sio vyake ni vya makaka wajomba na mazindiko.... To each their Own na chochote kinachofanyika katika mila is showing appreciation....Kama ningelikuwa ni mzazi wa uyo Binti , ningemwambia alete kiasi alichonacho kama shukrani TU na kufuata Mila za Africa. Maana hakuna pesa yenye thamani ya mwanangu na kamwe siwezi kutafuta utajiri kwa kumuuza mwanangu .
Kosa lilianzia kwenye posa ya laki tano, kwa kifupi mdogo wako aliamua kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. Posa inaanzia Shilingi elfu 10 mwisho laki moja. Hiyo laki tano yote ilikuwa ya kazi gani au alifikiri itahesabiwa kwenye mahari? Anyway Mpe pole ndio ukubwa huo atavuka tuWadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
View attachment 3158790
P*mbavu afu mabinti zao hata kukata viuno hawajuiWote wabena hao halafu Kijiji kimoja
Hela yote ya ninj hiyo?Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
View attachment 3158790