Kama huyo mwanamke ni bikira ni sawa kabisaWadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
View attachment 3158790
Njombe mojaNi wapi huko kwanza?
Njombe iyoNi wapi huko kwanza?
Wazee wanataka kuondokana na umasikiniAchana iyo mke mzee suti za kaka sijui dada mambo yakiwaki hayoππππ yani iyo mahari nikiangalia naona kama sio jambo serious!!!! Mahari milioni1 alafu ngβombe na zaga zingine kibaoππππ
KweliHawa wanauza mtoto wao