Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?

Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?

1. Utaanzaje na atakuchukuliaje?
2. Vipi zikimshinda itakuwaje, na atajisikiaje?
3. Vipi akikukatalia utajisikiaje?
4. Baada ya namba 2 na 3 kutokea ndoa itakuwa salama?

Styles ambazo zimezoeleka ni
...kifo cha mende
...mbuzi kagoma kwenda/chuma mboga
...kalia kibao cha mbuzi/ baba kapakata mtoto


Sasa zimeibuka hizi:
..popo kanyea mbingu
..sukuma gari bovu/kuku anachanwa kidali
..dada kaa kwenye bembea
 
Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?

1. Utaanzaje na atakuchukuliaje?
2. Vipi zikimshinda itakuwaje, na atajisikiaje?
3. Vipi akikukatalia utajisikiaje?
4. Baada ya namba 2 na 3 kutokea ndoa itakuwa salama?
Wee kabla hujamfundisha akakubadilishia style yeye utajisikiaje
 
Kwa ulimwengu huu wa sasa, hamna style mpya ambayo wapenzi/ wenzi watasema wanafundishana. Tunaingia ndoani tukiwa tayari tumekubuhu.

Shida inakuwa "kuvunga" tu, labda tuseme nani aanze "kuvunja ukimya" wa kuvunga.
 
Gudume ana uzoefu mkubwa wa mambo haya, anaweza kutoa hekima zake kwenye hili
 
Kwenye mapenzi hua tunachorana tuu, kila mtu anamchek mwenzie afanye/aseme kitu fulani ili kiendelezwe.

Ila kila mtu kwenye mapenzi anatamani apate kitu kipya
 
Hakuna jipya la kufundishana ni kufanya tu unapotaka.
 
Mkuu, ni jambo zuri kufanya hivyo maana ikitokea akaonja kwingine akakuta vitu vipya vingi daah ndoa inapungua utamu.

Halafu swala la atakuchukuliaje inategemea maana kwa mwanaume, mkeo atafurahia zaidi kuona kapata mtu anayempatia ila daah mwanamke akijifanya kujua sana kumzidi mumewe aisee inashtua kidogo, labda kama alikutwa hajachinjwa bado itaonekana ni Ubora wa kungwi kumuandaa Mwali
 
Back
Top Bottom