Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Je, ni sawa kumfundisha mkeo/mumeo staili mpya za kungonoka?
1. Utaanzaje na atakuchukuliaje?
2. Vipi zikimshinda itakuwaje, na atajisikiaje?
3. Vipi akikukatalia utajisikiaje?
4. Baada ya namba 2 na 3 kutokea ndoa itakuwa salama?
Soma hiyoo