LGE2024 Je, ni sawa kwa Viongozi wetu wa Mtaa kututoza pesa ili watupigie mihuri kwenye shida zetu?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sheria haiwezi kufunction kila sehemu sehemu zingine unajipongeza ukisubiri Sheria unasemaje mambo hayaendi
Kuna mazingira ambayo "informal sector" inafanya kazi kubwa na muhimu sana ili kuziba pengo ambalo "formal sector" imeshindwa kufanya ipasavyo. Na ni hapo ndipo "extra legal activities" huchukua mkondo wake.

Kama mfumo rasmi wa serikali katika "its grass root' umeshindwa kuwalipa mishahara rasmi ama kutoa motisha kwa wafanyakazi wake, unategemea motisha wa wafanyakazi hawa katika ngazi hii utatokea wapi!? Na wao wanawajibika kujiongeza ili kulinda maslahi yao.

Tsh. 2,000, 3,000 ama 5,000 mbona ni kiasi cha kawaida sana kukilipia kulingana na huduma ambayo mwananchi anaihitaji! Ukifika katika ofisi hizi, ikiwa kuna sharti la lazima ndani ya mchakato husika wa kupata huduma, na endapo mtu atawajibika kutafuta huduma sambamba za kisheria kwa wanasheria binafsi ama mahakimu wa mahakama za mwanzo kwa ajili ya kiapo, mbona gharama zilizowekwa kwao zinaonekana kuwa ni za kawaida tu!?
 
Watendaji wa vijiji sio waajiriwa rasmi wa serikali na hawalipwi mshahara?
 
Ndio hivyo watu wanaona Ile kazi ya kanisa hata kanisani watu wanatoa sadaka kwanini hao wasipewe chochote kupata motisha ya kuendelea kuifanya kazi yao ya kuhudumia wananchi wa chini kutoka kwenye vijiji na mitaa?
 
Watendaji wa vijiji sio waajiriwa rasmi wa serikali na hawalipwi mshahara?
Mjumbe wa nyumba 10 analipwa na nani? Mtendaji analipwa na Serekali Ila mjumbe halipwi, unapoenda Ofisi ya Serekali ya Mtaa usisahau documents zako haziendi kusainiwa Ofisi ya mtendaji wa Kata na ukipeleka kule wanakuelekeza zilipo Ofisi ya Serikali ya Mtaa kule utakuta Ofisi ya Mwenyekiti na Ofisi ya mtendaji wa Kijiji, sasa wewe ni kuongoza Ofisi ya mtendaji wa Kijiji ndio atakujazia karatasi zako na kupiga muhuri na Saini yake haina malipo km wewe ni mkazi wa hapo hapo Ila km umedundia na wao wanakudundia lazima ulipie, km hujaelewa uliza usisahau mtendaji wa Kata na mtendaji wa Kijiji ni watu wawili tofauti huyu anafanya shughuli za Kata na huyu anafanya shughuli za Kijiji
 
Watendaji wa vijiji sio waajiriwa rasmi wa serikali na hawalipwi mshahara?
Watendaji katika ngazi zote ni watumishi wa umma, ambao huajiliwa na serikali, na pia wanalipwa mishahara yao na serikali, lakini viongozi waliopigiwa kura na wananchi wao hawalipwi mishahara kutoka serikalini.
 
Salaam ndugu zangu,

Aisee kumekuwa na tabia ya viongozi wa Mitaa mbalimbali kugeuza shida za Wananchi kama miradi yao ya kujipatia pesa...
Huduma ya serikali ya mtaa ni Bure.

Muhuri wa serikali ya mtaa ni mali ya umma. Serikali iwajibike kuwalipa mishahara wenyeviti na wajumbe wa hizi serikali ili kuondoa kero kwa wananchi kulipia huduma ambazo kimsingi ni bure

Someni Ibara zote za 22 na 23 za Katiba. Serikali iwajibike
 
Back
Top Bottom