Je, ni Siasa za sasa za Tanzania ndizo zinawakwaza IMF na WB hadi hawatujali tena Watanzania au kuna 'Kirusi' Kimewakwaza sana?

Kwa hiyo akili yako unafikiri kila serikali inaendesha mambo yake? Lazima kuwe continuation ya projects

What's your point? Hoja hapa ni kuwa WB wametoa mkopo, kwa nini msiseme approval iliyopo ni ya kuruhusu disbursements za fedha kwa mkopo uliokubaliwa wakati wa serikali iliyopita? Kwa nini itangazwe kuwa WB wanatoa mkopo mpya wakati inajulikana kuwa si mkopo mpya?
 
.mkuu!
Sisi tumeamua kufuata sera za adui yao namba moja Baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere na hivyo hatuelekei kutimiza matakwa yao.

Kumbuka hata muanzililishi wa chadema mzee Edwin mtei aliwahi kukosana na Baba wa taifa kwa ajili ya hao hao IMF na WB .
Ina maana kwamba labda isingekuwa hao jamaa hata chadema hii isingekuwepo.

Halafu 2015 ile uchaguzi vibaraka wao wote walipigwa chini yaani rafiki yako Membe, lakini pia na yule jamaa wa iramba mzee wa vitalu aliyeko ufipa siku hizi.

Ukizingatia JPM hajawahi kukanyaga kwenye korido zao kuwasujudia na bdala yake ame deal na miti yao ACACIA trees ambazo huwa ni shelter nzuri sana kwa mapumziko ya nyumbu porini, hadi kupelekea miti ikaliwa na TWIGA .

Then what do you expect nina uhakika unayajua yote haya ila kwa sababu jimboni hupapendi basi humu jimboni kwako JF unatimiza wajibu wako.

Wacheni tukae na JPM wetu tunavuma kwa kishindo hadi 2025[emoji1241][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…