Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Sifa moja ya waafirca ni kujisifia vitu vya kipumbavu wanavyovifanya,
Maisha yako hayana Mbadala, ndio maana wenzetu waliotuzidi maarifa huwezi kukuta anacheza na uhai wake aghalabu kujisifia ujinga kama wewe!!
 
Hivi ukiendesha kwa "spidi kali sana" unapata faida gani?

Mimi nilijua wavuta bangi ndiyo hufanya hivyo, kumbe mpaka majitu mazima?
sure yaani mtu kabisa anajisifia kukimbiza gari spee 195kph aisee tunao ujinga mwingi sana!!!
 
Sifa moja ya waafirca ni kujisifia vitu vya kipumbavu wanavyovifanya,
Maisha yako hayana Mbadala, ndio maana wenzetu waliotuzidi maarifa huwezi kukuta anacheza na uhai wake aghalabu kujisifia ujinga kama wewe!!
Ni kweli kabisa, ndio maana ajali zote na racing zote zinafanyika Africa tu.
 
ipo siku nilipanda IT kwenda niliposhuka Makambako nilikuwa nimelowa jasho maana jamaa alikuwa anakanyaga 180 kwenda 200, kila mara nilikuwa namwambia speed kali punguza lkn anaenda kidogo anajisahau....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah nimecheka kichizi wallah "Ile kutizama dashboard mshale huuoni"

NB: madereva wa IT sio watu wazuri kabisa.
 
Sifa moja ya waafirca ni kujisifia vitu vya kipumbavu wanavyovifanya,
Maisha yako hayana Mbadala, ndio maana wenzetu waliotuzidi maarifa huwezi kukuta anacheza na uhai wake aghalabu kujisifia ujinga kama wewe!!
Sikupingi lakini hapo kwenye kulinganisha sio,maana huo unaouita upumbavu hata hao 'wenzetu waliotuzidi maarifa' wanaufanya sana kutuzidi sisi,na usikute wao ndo walianza.Maana wana nyenzo zote za kufanyia 'upumbavu'.Vyombo vyenye nguvu,imara na barabara safi.
 
Attachments

  • TOP_SPEED!_300kph😱😱😱_BigBike_Race!_Run_like_a_boss!,😱_#bigboss(360p).mp4
    1.9 MB
ipo siku nilipanda IT kwenda niliposhuka Makambako nilikuwa nimelowa jasho maana jamaa alikuwa anakanyaga 180 kwenda 200, kila mara nilikuwa namwambia speed kali punguza lkn anaenda kidogo anajisahau....
Ulifunzwa adabu kidogo.
 
Tena akumbuke Autobhan ipo Ulaya na sio Africa.
 
ipo siku nilipanda IT kwenda niliposhuka Makambako nilikuwa nimelowa jasho maana jamaa alikuwa anakanyaga 180 kwenda 200, kila mara nilikuwa namwambia speed kali punguza lkn anaenda kidogo anajisahau....
Watu kama wewe mnapaswa kufanyiwa hivi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Attachments

  • ui_HIGH.mp4
    6.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…