Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Sifa moja ya waafirca ni kujisifia vitu vya kipumbavu wanavyovifanya,dashboard iliwahi kusoma 186 Kph (Dashboard ilikuwa ya digital) na ilikuwa ni sehemu inaitwa Samunge kuna down hivi kali kuitafuta Shinyanga. Nilikuwa na ndugu yangu alipiga kelele sana kuwa mwendo ni mkali ila nimuuliza tu "KWANI MIE NIPO NJE YA GARI?"![]()
![]()
Maisha yako hayana Mbadala, ndio maana wenzetu waliotuzidi maarifa huwezi kukuta anacheza na uhai wake aghalabu kujisifia ujinga kama wewe!!