RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Basi ungejua kuwa kwenye hizi Toyota huwa inazidi kidogo 180 especially hizi Crown au Mark XSana tu, isitoshe mimi ni driver by professional wa NGO's na niko na gari zangu ndogo kadhaa za misele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ungejua kuwa kwenye hizi Toyota huwa inazidi kidogo 180 especially hizi Crown au Mark XSana tu, isitoshe mimi ni driver by professional wa NGO's na niko na gari zangu ndogo kadhaa za misele
438Horses 😂😂😂 motor na engine combined! Torque yake MB lazma atubuAisee! Sasa hio si ndio mtoto kabisa. 300+hp Vs 549hp ?
Mjeruman Habari nyingine [emoji119][emoji119][emoji119]Mwaka juzi jamaa yangu alikuwa anapeleka gari yake kwa mteja Moshi BMW 3 series.
Tukaongozana kutoka Arusha kuelekea Moshi ikawa mashindano barabarani BMW 5 Series vs BMW 3 series.
Aisee walioumia barabarani ni wajapan.
Jamaa yangu alikuwa mwoga wa spidi nikiwa nyuma yake namwangalia jinsi Mark X inavyomtoa jasho kuipita.
Nampigia simu namuuliza ni biashara gani unafanya hapo mbele, anajibu namlia timing.
Nikamwambia usimpite tena, angalia mashine inavyopita, niliwakata kwa spidi ya 200kph.
Ndio Mkuu,Mimi Safari ndefu pia natembeleaga speed hiyo,labda kwa sababu Sina experience muda mrefu,leseni nimechukuwa Kama Miaka miwili iliyopitaHata kwa safari ndefu?
Leta experience yako.... gari na maeneo yanachangia pia, hiyo chuma uliyopiga nayo 300kph unafikiri akipewa mwingine atashindwa?Mi nlidhani umewahi kuendesha gari kwa speed ya juu sana kumbe unazungumzia hizi za kawaida za 180 mpaka 190?
Ulikuwa unaendesha msafara wa harusi? Sasa sisi ambao tumeendesha speed mpaka 300 si tungeanzisha forum au website kabisa? Wewe wa speed 180 unaanzisha uzi? Aisee....umenichosha kbisa.
Una uoga chief.Ikishafika 150km/h nakosa amani. Na hiyo niliifikia zamani kwenye 2016 BMW 3i. Hizi gari zetu nyepesi Raum na Dualis sizidi 120km/h.
Nimeshasalimika ajali Mara mbili nikizidi hapo naanza kutetemeka hata bila kujua kwanini. Nnakosa utulivu kabisa.
Hapana experience sio sababu... ila ni hobbie tu. Mie nilianza kupenda speed tokea nikiwa mdogo nilikuwa namwambia baba yangu mpite huyo wa mbele. Yani nilikuwa sitak kuona gari mbele yangu.Ndio Mkuu,Mimi Safari ndefu pia natembeleaga speed hiyo,labda kwa sababu Sina experience muda mrefu,leseni nimechukuwa Kama Miaka miwili iliyopita
Mpaka hapa naona vyuma vya Mjerumani havina mpinzani.[emoji1316]skumbuki vzuri 240 au 220kph.. na bmw x5 2008 cc 3000 petrol ya mdingi ya kustaafia.. njia dodoma kuitafuta singida.. ina kichaa ile gari.. ngoja niende cloud niwachukulie video/image
Basi tuseme Ni uoga tu Mkuu,naogopa kupiga mzingaHapana experience sio sababu... ila ni hobbie tu. Mie nilianza kupenda speed tokea nikiwa mdogo nilikuwa namwambia baba yangu mpite huyo wa mbele. Yani nilikuwa sitak kuona gari mbele yangu.
Nnavyokwambia nilishapata ajali Mara mbili unanielewa lakini?Una uoga chief.
Maisha ndio haya haya 😁😁***** [emoji16]
😁😁😁 anaona 2GR machine sana.. kuna machine zimetulia tu.. ajichanganya atabaki mdomo waziMwenzio wala haangalii specs yeye anataja Japanese car tu anakwambia itashinda.
Pole mkuu. Ulipata ajali sababu ya mwendo?