Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Mwaka juzi jamaa yangu alikuwa anapeleka gari yake kwa mteja Moshi BMW 3 series.

Tukaongozana kutoka Arusha kuelekea Moshi ikawa mashindano barabarani BMW 5 Series vs BMW 3 series.

Aisee walioumia barabarani ni wajapan.

Jamaa yangu alikuwa mwoga wa spidi nikiwa nyuma yake namwangalia jinsi Mark X inavyomtoa jasho kuipita.

Nampigia simu namuuliza ni biashara gani unafanya hapo mbele, anajibu namlia timing.

Nikamwambia usimpite tena, angalia mashine inavyopita, niliwakata kwa spidi ya 200kph.
Mjeruman Habari nyingine [emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Bila kufuta sahani sijisikii kabisa, pia nashukuru nishaachana na gari zenye mwisho wa 180kmh.. na mwisho wangu Huwa sizidi 250kmh na sitembei chini ya 160kmh ambapo hakuna kibao Cha 50kmh
***** [emoji16]
 
Mi nlidhani umewahi kuendesha gari kwa speed ya juu sana kumbe unazungumzia hizi za kawaida za 180 mpaka 190?

Ulikuwa unaendesha msafara wa harusi? Sasa sisi ambao tumeendesha speed mpaka 300 si tungeanzisha forum au website kabisa? Wewe wa speed 180 unaanzisha uzi? Aisee....umenichosha kbisa.
Leta experience yako.... gari na maeneo yanachangia pia, hiyo chuma uliyopiga nayo 300kph unafikiri akipewa mwingine atashindwa?
 
skumbuki vzuri 240 au 220kph.. na bmw x5 2008 cc 3000 petrol ya mdingi ya kustaafia.. njia dodoma kuitafuta singida.. ina kichaa ile gari.. ngoja niende cloud niwachukulie video/image

pia mark x nlikua nagonga 160...naacha 20

saivi hayo mambo sina tena..natembea average 120/140
 

Attachments

  • Screenshot_20181210-070738.png
    Screenshot_20181210-070738.png
    750.7 KB · Views: 26
  • IMAG0445.jpg
    IMAG0445.jpg
    306.8 KB · Views: 22
  • IMAG0447.jpg
    IMAG0447.jpg
    473.9 KB · Views: 26
Ndio Mkuu,Mimi Safari ndefu pia natembeleaga speed hiyo,labda kwa sababu Sina experience muda mrefu,leseni nimechukuwa Kama Miaka miwili iliyopita
Hapana experience sio sababu... ila ni hobbie tu. Mie nilianza kupenda speed tokea nikiwa mdogo nilikuwa namwambia baba yangu mpite huyo wa mbele. Yani nilikuwa sitak kuona gari mbele yangu.
 
Pole mkuu. Ulipata ajali sababu ya mwendo?

Yap! Kimsingi nilijifunza gari mwenyewe Sasa nilivyoanza kupata uzoefu kidogo nimetoka magomeni naitafuta roundabout ya kigogo nipo speed zaidi ya 120, walikua karibu walikimbia wakijua gari inaruka zile Kingo za barabara kuwafuata. Nilishika break inaninyanyua juu upande, kuachia ikajipigiza ukingoni ilizunguka kimiujiza ikakaa upande wa gari za kutokea Ilala. Hiyo ilikua 2008
 
Back
Top Bottom