Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Valio machine 200 speed ukipanda toa hosia kabisa kwenu
 

Attachments

  • 1666774709770.jpg
    67.8 KB · Views: 13
Hiyo ni truck gani mkuu unayoipambanisha na magari madogo ukiwa umejiamini kiasi hiki?
 
[emoji2959][emoji1787][emoji1787] huyo mwenzio yupo na 140 kutoka bahi kaikuta chuma dodoma! Hata kama ni usiku kipande hicho kina matuta na road blocks na hajaikuta! Labda alisimama kukojoa! Mjadala huu nimeufunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi kasema aliikuta hiyo truck dom? Jamaa kasema ilimpita akiwa 140 kilichoendelea mimi na wewe hatujui!!!

At least ungetaja trucks zenye injini kubwa ambazo ni za kuhesabu siyo hizo zenye 360hp..
 
Wapi kasema aliikuta hiyo truck dom? Jamaa kasema ilimpita akiwa 140 kilichoendelea mimi na wewe hatujui!!!

At least ungetaja trucks zenye injini kubwa ambazo ni za kuhesabu siyo hizo zenye 360hp..

Post yake no.518 irudie kuisoma na hiyo 360hp ni gari za kizamani japo kuna 371 mchina gari nyingi ndogo haziifuati ukiikuta kwenye ubora wake amini usi amini hiyo nanyanyuka na 3 inafuata 5 inayofuata ni 7 zinazobaki nazifuata mpaka 12 na RPM situmii 10, 11 wala 12 kufuata ratio, nabadilishia gear kwenye RPM 15 na 16 na natembeza na 16_17 na ukute ina inatumia gesi kama zile za dangote utaipisha tu hata uwe na 160km/h

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hujakutana na volvo 480 bila kusahau hizi pamba nyepesi scania zipo za kila aina, hujakutana na DAF gear 16_ hii gari kuifuata ni mpaka uwe na sport car yenye sport gear ( gear 6 ) tofauti na hapo ukiiona iache iende!
 
Kuna watu 80km hawatoboi unakuta chombo haitulii kabisa road utasema anaendesha ngalawa
Na utawasikia nimepitwa na gari fulani kama nimesimama ukimuuliza wewe ulikuwa na speed gani anakwambia 80[emoji23]
 
Mjep kaka angu uzi unakufaa huu
 
Na utawasikia nimepitwa na gari fulani kama nimesimama ukimuuliza wewe ulikuwa na speed gani anakwambia 80[emoji23]
Hizo popoma ndio hua zinatusababishiaga 4len na ukitaka ku over_take anaongeza mwendo wanakera hatari na mara nyingi wana7babisha ajali

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2959][emoji2959] Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gari ndogo zipo nyingi mkuu mfano hilux yenye injini ya 5L hata 140 kufika mtihani ila ist,raum,ractis....labda uwe mwoga.
Kuna kitu nimegundua: kuna watu unakuta tangu ameingia kwenye ulimwengu wa magari ni gari moja au mbili ndizo alizo wahi endesha pia wengi ni trip town akienda mbaali sana bagamoyo au kibaha! Hivyo kuna mambo ni ngumu sana kuelewa na bahati mbaya badala ya kuelewa anaishia kwenye alivyo kariri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenye hiyo daf yako hata wakikuongeza gear zingine 4 jumla uwe na gear 20 bado mwenye gari ndogo inayoweza kufika 180 bila shida atakupoteza tu!!

Kuna factors kama uzito, shape ya gari, height ya gari hivyo vyote vitamfavour mwenye gari ndogo kuliko wewe ndiyo maana kuna sehemu umeandika kelele kwenye dashboard mara sijui mwili unakufa ganzi na vitu kama hivyo..

Truck litatembea mwendo mkali maeneo machache sana kulinganisha na gari dogo! ikitokea kona lazima upunguze, miinuko lazima upunguze, miteremko yenye kona kona lazima upunguze.
Mwenye gari dogo atakupoteza kwa sababu anaaccelerate to the max. speed faster than you..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…