Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Sijahi kuikubali 1hz japo inadumu sana ila ni nzito sana!
1hz ni 12 valve inline 6 SOHC engine ya kizamani sana sema ni roho ya nyau. Ile ni engine ya kudumu kwenye gari na imetengenezwa ili idumu.

Wakati imeanza kuingia sokoni early 9O's ilikuwa tishio by that time. Ila kwa sasa gari zenye more efficiency and workability ni nyingi basi inaonekana ya kawaida mno.
 
Kweli! Kwa durability ipo pouwa ila kwny soko la biashara isha pitwa na muda labda iwe kwny gari ya kitembelea ila gari za biashara isha kua msala HD, kuna 12H, kuna 24 basi balaa tupu
 
X5 50d yenye 400hp na 900 nm ina accelerate faster kuliko X5 50i yenye 550hp na 700nm?

Nina uzoefu na baadhi ya gari za diesel na petrol. Ninapokwambia torque ni kwenye milima na kubeba mizigo najua ninachosema.

Ndo nasikia kwako leo.
Aisee inaonekana bado uzoefu wako haujafikia expert levels..
Hapo unalinganisha gari ya Petrol na Diesel.. Ila ngoja nikusaidie uzidi kuwa mzoefu..
Screenshot_20221108-195726~2.png
Screenshot_20221108-195757~2.png
Screenshot_20221108-195809~2.png

Screenshot_20221108-195741~2.png

Nadhani hapa nimekuongezea uzoefu kwako na kizazi chako..!!
 
Aisee bado unashindwa kuelewa au hutaki kukubali kupokea ujuzi..!!!
Unacompare gari zenye fuel tofauti.. Petrol naturally ni faster kuliko Diesel..!!!
IST ya 140hp bado itaipita Scania ya 360hp..!
Ila gari ndogo hua zina changanya haraka kuliko kubwa ila sio kama zinakimbia sana! Ukiikuta hiyo 360hp ina mbao zake mgongoni usiku utafunga macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote aisee.. Gari ndogo kwenye mwendo haina upinzani..!
Sidhani kama kuna Truck ikiwa stock inaweza kuclock 170kph..kitu ambacho gari ndogo inawezekana..!
 
Ha! Hujawai kukutana na gari kubwa ina tembea! Bahati nimeyaendesha! Chuma zinatembea inafika mahala mwili wote unakua ganzi na baridi huku ukisikilizia nini kinatokea dashboard ni makelele! Hiki kipande cha dar_moro tunafutaga visaani hiyo milima hapo kati chuma hua zinapanda zenyewe bila kukanyaga accelerato na una 30tonnes mgongoni! Nenda songea kipande cha kutoka songea kwenda mbinga na kutoka songea kuitafuta njombe to makambako na hiyo gari ndogo ukafanye ligi na trucks! Utakapo ipita hiyo gari ni kwenye kupanda na si tambarare au anashuka

Hapo unachanganya gari kufeel faster na gari kuwa faster..!
Hata umalizie sahani ya gari kubwa bado uko slow zaidi ya gari ndogo inayoenda 170kph..!
170kph kwenye Landcruiser
170kph kwenye Rav4
170kph kwenye IST
haziwezi kuwa na feeling sawa..kila moja ina feeling yake..

Kumbuka Momentum = mass x velocity..
Kwahiyo gari yenye mass kubwa kwenye same velocity na gari yenye mass ndogo itakuwa na momentum kubwa..
Kwenye gari kubwa unafeel ile momentum kubwa ila sio kwamba ina velocity/speed kubwa kuliko gari ndogo..!
 
Labda! Ila c dhani! Tukubaliane kuto kukubaliana[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee bado unashindwa kuelewa au hutaki kukubali kupokea ujuzi..!!!
Unacompare gari zenye fuel tofauti.. Petrol naturally ni faster kuliko Diesel..!!!
IST ya 140hp bado itaipita Scania ya 360hp..!
Then hujaelewa concept yangu.

Naongelea overall impact ya torque na hasa katika extreme cases.

Diesel engines produce extreme torque na petrol engines produce extreme hp.
 
Ha! Hujawai kukutana na gari kubwa ina tembea! Bahati nimeyaendesha! Chuma zinatembea inafika mahala mwili wote unakua ganzi na baridi huku ukisikilizia nini kinatokea dashboard ni makelele! Hiki kipande cha dar_moro tunafutaga visaani hiyo milima hapo kati chuma hua zinapanda zenyewe bila kukanyaga accelerato na una 30tonnes mgongoni! Nenda songea kipande cha kutoka songea kwenda mbinga na kutoka songea kuitafuta njombe to makambako na hiyo gari ndogo ukafanye ligi na trucks! Utakapo ipita hiyo gari ni kwenye kupanda na si tambarare au anashuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kuna chuma iliwahi nipita bahi kuitafuta dom saa mbili usiku nikiwa 140 sikuamini semi zinatembea usiku
 
Tena hicho kipande kutoka bahi kuja dom palivyo tulia ukutane na volvo au benz alafu dereva kavurigika ana vibe lake ana wahi mambo yake dom au wapo kwenye ligi hata hapo dom uisinge mkuta na hiyo 140 ya gari ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom