Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
1hz ni 12 valve inline 6 SOHC engine ya kizamani sana sema ni roho ya nyau. Ile ni engine ya kudumu kwenye gari na imetengenezwa ili idumu.Sijahi kuikubali 1hz japo inadumu sana ila ni nzito sana!
Wakati imeanza kuingia sokoni early 9O's ilikuwa tishio by that time. Ila kwa sasa gari zenye more efficiency and workability ni nyingi basi inaonekana ya kawaida mno.