Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Mkuu kwenye hiyo daf yako hata wakikuongeza gear zingine 4 jumla uwe na gear 20 bado mwenye gari ndogo inayoweza kufika 180 bila shida atakupoteza . [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji471]
 
Mkuu kipande cha Njombe -Songea huwezi kukimbia na lori hata uwe na roho ngumu kiasi gani ukifanya hivyo tutakuzika mapema tu.
 
Mkuu kipande cha Njombe -Songea huwezi kukimbia na lori hata uwe na roho ngumu kiasi gani ukifanya hivyo tutakuzika mapema tu.
Kama hupajui hukimbii! Japo hapozoeleki ila kuna vipande muhimu sana usipo shuka vizuri utapanda kwa shida sana
 
Kama hupajui hukimbii! Japo hapozoeleki ila kuna vipande muhimu sana usipo shuka vizuri utapanda kwa shida sana
Mkuu narudia tena ile njia malori hayakimbii katembea sana speed 60-70 haizidi hapo.
 
Hata watoe ving'amuzi
Hapana mzee,waliosafiri na mabasi kuanzia 2015 kurudi miaka ya nyuma watakuambia hili...Tena usifanyr utani mkuu,sifahamu mambo kuhusu magari ila hili hapana labda bus iwe sung long.
 
Grande mark 2 yangu mafundi wameniharibia engine
 
🤣🤣🤣🤣vipi nyuma haukuacha bajaji zikiteketea utafikiri ziko kuzimu
 
Ina engine gani? Na wameiharibu nini?
1jz ilikuwa na issue ya kuvujisha oil kwa chini wakafungua wakarekebisha wakazalisha tatizo la kuvujisha kwa pembeni ambayo haidondoki inaishia kutengeneza utando na vumbi pembeni so haidondoki chini Ili ijulikane, gari ilimwagwa oil ikatembea km 600 tu ikaisha ikaanza kuunguza mapiston. From there kila kitu kikawa mtihani kuhusu kubadilisha engine nyingine nikawa napata feki Hadi Leo lipo garage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…