Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Aiseee jamaa Kama Ni mpenda mambio atalitunza kishenzi.Mkononi kwa mtu kwa Sasa kwa gharama za kukadiria naweza nikamvua mtu kwa sh. Ngapi?

NB:Mimi siangaliagi mambo ya Namba.
Yenye engine gani mkuu? Ila hizi za 1G kavu na 1G-FE ndio bei rahisi zaidi. Na iliyosimama kabisa ambayo ina body kali ni milion 3 hadi 3 na kitu, ila zipo hadi za kuanzia milion 1 na kitu.
 
Fresh mzee...kati ya engine za toyota alizotulia na kuzitengeneza vizuri ni
1. 2JZGTE -320 HP
2. 1JZ GTE-280 HP
3.3S-GTE - 260HP (Hapa itabidi ninunue Caldina yenye 3SGTE..fully body kit na BOV...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdada anayo hyo Caldina ya 3S-GTE asee ni kali balaa, ila kuuza aligoma anataka nimpelekee Nissan XTRAIL afu ndio anipe hyo.
 
LC 200 GXR

Mwaka jana nilitoboa 200KPH, ila kuna muda niligusa hadi 240KPH ambayo ndio mwisho wa kisahani, sirudii asee

Ilikuwa Mafinga to Makambako, tulikuwa tunatoka Dar kuenda Mbeya, na tulikuwa tunapokezana kuendesha na mzee
 
Looooo na zile tuta ilikuaje mkuu?maana tuta ndani ya mikumi national park ni uchafu mkubwa, na zile zinazokaribia kitonga pass nazo pia ni uchafu
 
Hii sio ile iliofungwa 1JZGTE kweli
Nahisi itakuwa yenyewe mkuu, afu pia naskia walicheza na mzunguko wa diff na gearbox pia, na plug jamaa alikuwa anatumia zile za kufunga kwny V8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…