Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Mleta mada mimi naomba niulize kitu..hio GX100 uliifanyia modification na kuweka hio turbo? Maana JZX100 ndo ina 1JZGTE...nirudi kwenye point mimi speed kubwa ni 170KPH Altezza 3SGE sehemu mbili moja ukiwa unaitafuta kitonga baada ya kuimaliza iringa sehemu ya pili ni mikumi mbugani hii siku niliiacha Range Rover..ya 2014..na sehemu ingine ukishamaliza mikumi kutafuta vijiji vya mangae/mangai[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa 170km/h uliiacha range rover either kwa sababu dereva alikuwa muoga au hakutaka ligi na wewe.
 
Fresh mzee...kati ya engine za toyota alizotulia na kuzitengeneza vizuri ni
1. 2JZGTE -320 HP
2. 1JZ GTE-280 HP
3.3S-GTE - 260HP (Hapa itabidi ninunue Caldina yenye 3SGTE..fully body kit na BOV...😂😂😂
Naomba kujua kuhusu Hii engine ya 2JZ - GTE maana watu wengi wameisifia Sana kuanzia ulaya mpaka huku bongo,kuna jamaa yangu pale kariakoo anamiliki Toyota aristo 300 hii gari imekuja na hiyo engine ni balaa hiyo gari ni hatari Sana kwenye mbio.

Alafu Ile aristo imefanyiwa tunning
 
Mimi mwisho ilikuwa 150kph. Na kiukweli natamani nisirudie tena. Walau niwe naishia 100-120kph hivi!

Maana mwendokasi ni moja ya chanzo cha ajali.
Huwa natamani sana niishie 120kph lakini nashindwa. Nikifikiria ninapoenda na gari inachoweza najikuta nasema 'https://jamii.app/JFUserGuide it lets go'
 
Naomba kujua kuhusu Hii engine ya 2JZ - GTE maana watu wengi wameisifia Sana kuanzia ulaya mpaka huku bongo,kuna jamaa yangu pale kariakoo anamiliki Toyota aristo 300 hii gari imekuja na hiyo engine ni balaa hiyo gari ni hatari Sana kwenye mbio.

Alafu Ile aristo imefanyiwa tunning
Kuna aristo moja huko Arusha aisee iliikalisha 2GR GRS204 ilikua balaaa aiseee...fully moded twin turbo...😂😂😂
 
Back
Top Bottom