Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

bmw x5 ya 2019 ina turbo kwanza ni ya mshikaji wangu, nilifika 190 utadhani gari haikanyagi chini na barabara ikawa nyembamba nikatuliza bangi zangu nisije tolewa figo maiti yangu kufidia gari ya watu,
kwa pikippiki ni ile honda x blade 160 speed nilifika 100 tu pikipiki zinatisha sana speed kubwa .

sema speed kubwa tamu sana ila hatuna sehemu nzuri sana za kutembea nazo tukazifurahia ila ni hatari mno roho mkononi muda wote
Hii gari uwe nayo makini sana, maaana unakwenda speed kubwa halafu hata huoni speed kubwa.

180 KPH. BMW X5. I-95.
 
Hii gari uwe nayo makini sana, maaana unakwenda speed kubwa halafu hata huoni speed kubwa.

180 KPH. BMW X5. I-95.
yeah nikweli aisee zimetengenezwa inakujengea kujiamini sana na unajiona uko salama zaidi,
mimi kujaribu nashusha kioo kidogo ili niwe napata na hisia za upepo,
sema chuma la watu mi nilikuwa nagusa tu ila naogopa sana mwendo kasi
 
Caldina bila body kits iko smart sana mbona. Iwe na rims kali tu its a masterpiece. Nilikuwa na option ya kuchukua hio au Opa sema nilipozikagua zote niliangukia kwenye Opa sababu ilikuwa in clean condition zaidi ya Caldina.
Duh ndio Mambo ya kipendacho roho hayo mkuu.
 
Back
Top Bottom