Je, ni "Stamina" au "Size" ya uume ndio humfanya mwanamke afurahie zaidi ngono?

Vyote viwili havina mchango wowote.Kuna vitu vitatu vinavyosaidia kumfurahisha mwanamke kwenye unyumba
1.Hela
2.Fedha
3.ni no 1 na 2 hapo juu

Sawa wewe kazi yako Itakuwa ni kutafuta fedha, halafu yeye kazi yake itakuwa ni kupeleka hizo fedha kwa mwanamme mwîngine
 
Tafuteni hela bhana....mengine ni nyongeza tu
 
Pale unapogundua wewe ni exception[emoji41]
 
Mleta mada umeelezea vizuri kiuhalisia kwenye jamii!

Lakini sijui kifanyike nini maana inashangaza watu kuoana halafu bado kutoridhishana na kutoka nje ya ndoa?

Sasa inamaana gani kuoa?

Though ulichoandika ndicho kinachofanyika kwa sehemu fulani lakini inashangaza sana.
 
samahani mkuu umeoa ama?
 
Mkuu mwanamke n kiumbe complicated sana , No way unaweza ukam satisfy .. utatumia kila style, utajitahid utumie muda mwingi before hujakojoa ..lakini akitoka nje akakutana na mtu mwingine aliyemvutia ataliwa tuu ...sababu za mwanamke kutoka nje ni nyingi na nyingine hazielezeki, ila still zinawapa wao sababu ya kutoka ...kikubwa kuliko vyote kwa sisi wanaume ni kujifunza kutokua na expection yeyote ...sisi tuishi nao tuu... , Tutapoteza muda na concetration kwa kutaka kumtawala mwanamke lakini when it come sex choice anayo yeye ...akiamua kuliwa ataliwa tuu
 

Umeongea vyema sana Kaka . Ukiuliza sababu nyingine za kupigwa nje , yaani unaweza kushangaa. Kuna mwanamke Mmoja nilimuambia tell me the truth kama ulishawahi kuchepuka dhidi ya your man na why. Akasema amewahi na Sababu kubwa ni alivutiwa na jinsi ambayo staff mwenzake ofisini alivyo disminder kwa madem na jinsi alivyo msiri kwa mambo yake .so kwa Character hiyo akajikuta tu anamshobokea jamaa, jamaa akamla na ni kimya kimya hatari na hakuna aliyewahi kujua.

Haya mambo ni complicated sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…