Heeee๐๐๐๐, hata akiiga kizuri????Mimi tabia ya kutopenda kuiga tabia za watu ndo naipenda ila mtu akiiga kwangu tayari atakua amenichefua
Kuiga ni kuiga tu,mfano Ukraine ilimchokoza mrusi,ikazabuliwa, Hamas nao wakaiga kumchokoza Ben Netavita, sikuambii kilichotokea!Heeee๐๐๐๐, hata akiiga kizuri????
Kama ni ya kweli Mungu akubariki, na akuepushe na TamaaSichepuki,,,,, igeni pia, wapendeni wapenzi/wake zenu
Soma kisha utoe maoni yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz ๐!
Napenda sana tabia zako sweetheart...Soma kisha utoe maoni yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz ๐!