Je ni tabia ipi unayo ambayo unapenda iigwe na jamii?

Je ni tabia ipi unayo ambayo unapenda iigwe na jamii?

1.Kujiepusha na ugomvi usiokuwa na maana , kama sheria zipo .
2. Uaminifu na watu kuheshimu ndoa za wengine, sio kutongoza mke wa mtu ilihali unajua kabisa kaolewa.
3. Tabia ya urafiki na kushirikiana na majirani, sisi binadamu sio wanyama tuntakiwa kushirikiana kuna leo na kesho.
 
Napenda kuunga mkono biashara za watu tunafahamiana.

Nanunua kwao kila mara, hasa washkaji wanaoanza.
 
Kuamka mapema mida ya wanga 1:20am
Natangulia push ups
Naingia kwenye maombi na kusoma Biblia
Naanza kazi, pia nasoma kujielimisha zaidi kitaaluma na kutafiti
Baadaye naondoka kwenda mazoezi, aidha kuna siku ya kukimbia, nyingine gym kunyanyua vyuma n.k.
Jumamosi naogelea
Jumapili mapumziko, sifanyi mazoezi yoyote
 
Back
Top Bottom