Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

Kegenya

Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
22
Reaction score
15
Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao.
Je, hii ni sawa?
 
Sawa asante kwa taarifa
Je, baada ya kulipia kuna gharama nyingine?
Au nikishalipia wanarudisha freely?
Kama watakata gharama ni zao kurudisha ni zako, ila mnaweza ongea mambo yakaisha, wakikomaa utalipa. Sina hakika yaweza fika 30000
 
Kama watakata gharama ni zao kurudisha ni zako, ila mnaweza ongea mambo yakaisha, wakikomaa utalipa. Sina hakika yaweza fika 30000
Na yenyewe wanantumia control number au nawapa cash?
 
Na yenyewe wanantumia control number au nawapa cash?
unalipa kwa control number, kwani bili ya maji unaipata tokea wapi? ikiwa unatumiwa kwenye simu yako na hujalipa dawasa wamekuwa na utaratibu wa kukumbusha wateja kulipa maji mara kwa mara na huo ukumbusho serves as ' demand notice' na wakikukatia faini ni 30k.
 
Back
Top Bottom