Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

Murashani GALACTICO

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,511
Reaction score
5,390
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku.

Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO.

Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
 
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je kama zipo kasoro katika MIRADI iyo au MAJENGO je zitabainika kweli au ndo utaratibu wa ilani na sera ya chama?
Unataka kuniambia RC wa mkoa ikifika usiku majukumu yake hayaruhusiwi kuendelea?

Kama hujaelewa swali la juu basi hili la chini lina ahueni kidogo naomba ulijibu

Ukomo wa RC kufanya majukumu yake mwisho muda gani kwa siku?
 
Unataka kuniambia RC wa mkoa ikifika usiku majukumu yake haya ruhusiwi kuendelea?

Kama hujaelewa swali la juu basi hili la chini lina ahueni kidogo naomba ulijibu

Ukomo wa RC kufanya majukumu yake mwisho muda gani kwa siku?
SWALI sio saa za KAZI za RC swali ni je kasoro zilizopo kwenye mradi atazionaje kingali ni usiku. Au yeye na jopo lake linatafuta per diem tu???
 
SWALI sio saa za KAZI za RC swali ni je kasoro zilizopo kwenye mradi atazionaje kingali ni usiku. Au yy na jopo lake linatafuta per diem tu???
Swali la kipuuzi kwamba mida ya saa mbili kasoro haziwezi kuonekana?

MAJUKUMU YA RC NI MENGI

Ila tupunguze RC, mbunge na mkurugenzi.
 
Kama RC anaweza kufanya hivyo, labda ana hesabu zake au aliona anachokitaka muda huu ndo sahihi kufanya hivyo.

Jibu: Labda tujue kwanza hizo kasoro alizozifuata yeye kama ulivyouliza.

Lakini kukagua ni kutafuta kasoro tu?

Mwisho: Ungetusindikizia na picha wanazengo tuelewe zaidi
 
Balanced look of the scenario
 
Did RC expect to do the best for his intended job at night, was there something fishy for time choice, or something fishy regularly done with the project persons, who knows
 
Cijwai kuona mradi wa UJENZI umekamilika afu kiongozi unakuja kukagua na kupokea usiku. Kasoro zilizopo kwenye mradi sio rahisi kuzibaini na kuziona. Aseee per diem inatafutwa aseeee
 
kama kukagua, akitokea wp? nyumbani? bar? ofcn? akiwa mnyewe? kasndikizwa? na kina nani? ukijibu haya utajua dhamira ya kufanya kazi za aina hii ucku maana kuna za uck na za mchana. pia kuna znazo ongeza matmizi ya kodi na tozo kwa wananchi bla sabb. lkn tujiulize pia, kukagua miradi uck? kweli? ...dah!
 
Back
Top Bottom