Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Unataka kuniambia RC wa mkoa ikifika usiku majukumu yake hayaruhusiwi kuendelea?SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je kama zipo kasoro katika MIRADI iyo au MAJENGO je zitabainika kweli au ndo utaratibu wa ilani na sera ya chama?
SWALI sio saa za KAZI za RC swali ni je kasoro zilizopo kwenye mradi atazionaje kingali ni usiku. Au yeye na jopo lake linatafuta per diem tu???Unataka kuniambia RC wa mkoa ikifika usiku majukumu yake haya ruhusiwi kuendelea?
Kama hujaelewa swali la juu basi hili la chini lina ahueni kidogo naomba ulijibu
Ukomo wa RC kufanya majukumu yake mwisho muda gani kwa siku?
Swali la kipuuzi kwamba mida ya saa mbili kasoro haziwezi kuonekana?SWALI sio saa za KAZI za RC swali ni je kasoro zilizopo kwenye mradi atazionaje kingali ni usiku. Au yy na jopo lake linatafuta per diem tu???
Mbona hiko ulicho jibu me sijauliza,hebu elewa swali kwanza kaka.SWALI sio saa za KAZI za RC swali ni je kasoro zilizopo kwenye mradi atazionaje kingali ni usiku. Au yeye na jopo lake linatafuta per diem tu???
Balanced look of the scenarioKama RC anaweza kufanya hivyo, labda ana hesabu zake au aliona anachokitaka muda huu ndo sahihi kufanya hivyo.
Jibu: Labda tujue kwanza hizo kasoro alizozifuata yeye kama ulivyouliza.
Lakini kukagua ni kutafuta kasoro tu?
Mwisho: Ungetusindikizia na picha wanazengo tuelewe zaidi