ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asalam alyekum wakuu.
Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya.
Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa ule tu buyu kiroho ngumu.
Kula nyama nyamaza au ndo uanze shobo stori nyingi kuhusu X.