Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mapenzi ni mchezo wa uongo na kuliana timing, mimi siongeagi ukweli na sioni sababu ya kuongea ukweli.!!Paka leo mke wangu anajua yeye ndio alikuwa wa kwanza... kwangu.. alafu kaninyoosha na tukio kishamba.. bado ana hiyo imani sinaga hayo mambo
Kwanza mapenzi ukiwa mkweli yanachosha na inasababisha mtu kuwa na kisirani kisichoisha.!! Muache abaki kwenye uongo.!!