Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

Anaekukula usithubutu kwambia, atapata fimbo ya kukuchapia, na itakua kila ukifanya kosa atasema ndio maana mliachana na x yule. Halitamtoka kichwani maisha yenu yote. Pita kimnya tu
hakika aseeee,,ila kuna wafukunyuku wanapenda kujua yalopita
 
Back
Top Bottom