ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwani ukimsifia ex wako kuna shida gani?ni zile story za kumponda ex wako tu,, ila ukimsifia umekwisha
Ngoja nimuulze coz hua hapendiKwani ukimsifia ex wako kuna shida gani?
Umuulize nani?Ngoja nimuulze coz hua hapendi
Hahah unaweza pia mpa za mazuri pia ili ajue unapenda nnni zile story za kumponda ex wako tu,, ila ukimsifia umekwisha
Mwenye hunikula saivUmuulize nani?
mfano namwambi alikua ananiridhisha kuliko yeyeHahah unaweza pia mpa za mazuri pia ili ajue unapenda nn
Paka leo mke wangu anajua yeye ndio alikuwa wa kwanza... kwangu.. alafu kaninyoosha na tukio kishamba.. bado ana hiyo imani sinaga hayo mamboKuna wengine ving’ang’anizi hata ukigoma atataka kujua. Inabidi umtungie uongo unaofanana na ukweli ili umridhishe.!!
Siku mkiachana najua atatafuta hiyo story kukuchapia wewe unabaki unamcheka sababu ulimdanganya.!!
Kucompare kwenye mahusiano ni kitu mbaya sana.mfano namwambi alikua ananiridhisha kuliko yeye
Tunasubiri jibu.Mwenye hunikula saiv