Hapa Bongo Kuna chuo kinaitwa Hindumandal au vipi mkuu
hindumandal mbon sjawai kuiskia
Hakuna aliejibu hii hata Mimi mwenyewe. Hii ndio post bora kabisa. Maprofesa wengi ukiwatoa chuoni hawajui chochote kuendesha maisha. Wakistaafu ni kupata stroke na kufa baaaasi.
Usifananishe UDSM na UDOM.Kama umesoma UDSM basi usiponde UDOM
LABDA SIO UDCCMUsifananishe UDSM na UDOM.
Vitu viwili tofauti kabisa
Tanzania vyuo vyote vinatoa wasomi,ila walioelimika ni wachache sana kutoka kwa ivyo vyuo,Madaktari na maprofesa wengine wa hovyohovyo hata kutoka UDSMKama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.
Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.
Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.
NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
Chuo ni Agakhan University au Hindu Mandali!?? Na kipo wapi hicho Kama n constitute University!?? Na programmes zake ni zipiMkuu ina work pamoja Agha kwa some percentage
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.
Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.
Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.
NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
MJUMBEEEEE!!!!!MUST
Ukiwa Final year nafas za kazi zinaletwa za kutosha ushindwe wew tu!!!!![emoji4][emoji4]
ARUSHA TECHNICAL COLLEGEKama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.
Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.
Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.
NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
We jamaa utakuwa unaleta masikhara kwenye vitu seriousArusha
ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
Tumaini university Makumira ArushaKama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom.
Vivo hivyo wanafunzi wengi wa SAUT ni wale ambao wamejikongoja kutoka shule za kata na wengine wale waliofaulu kwa kurudia mitihani( reseaters) na wale ambao wameunga unga kwa nguvu kuanzia certificate, diploma mpaka degrees.
Kuna wale wa vyuo kama Sebastian Kolowa, Meru University, St Joseph and the likes ambako wanaenda wale ambao lengo lao ni kusomeka ana degree bila kujali hiyo degree imetoka chuo gani.
NB: Karibu tuchangie kwa uhuru na bashasha
MUST ni college inayojitahidi ila bado sanaMUST
Ukiwa Final year nafas za kazi zinaletwa za kutosha ushindwe wew tu!!!!![emoji4][emoji4]
Kati ya chuo kinacho toa product ya Vilaza wa kumwaga ni UDSM,wanachojua wao wakitoka pale ni kwenda kuajiriwa na siyo kutafuta fursa za kujiajiri.Chuo kinachotoa wanafunzi ambao kwanza wanajiamini na wako more competent ni Open university of Tanzania,hawa graduates kwanza wapo pale chuoni kimalengo sana na wanasoma kwa bidii,uwezo wao mkubwa wa kuchambua vitu upo juu sana,huwezi kulinganisha na chuo kama UDSM wanaobweteka tu kwa hoja kuwa eti ni chuo mama.Kwenye ofisi yetu tuna jamaa mmoja kamaliza UDSM kakozi fulani sijui kamefutwa kanaitwa KABIKOMU yaani jamaa ni very hopeless kabisa aiseee