Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

Wewe umewahi soma chuo chochote kweli?? Mbona hata kuandika vizuri hujui??
Hebu soma ulichokiandika kisha ulete mrejesho.
Dar es salaam maritime institute, Africa viwili tu kingne magharibi njoo kwa mabaharia pale watu wachache wanajua nn wanafanya Unique africa achana na mbwembwe za udsm na aridhi
 
Mimi nimesoma UDOM kwa miaka mitatu mbona SIASA sikuziona? Na kuhusu miundombinu mbona ipo ya kutosha labda uainishe hiyo miundombinu ya aina ipi kwa mfano?
 
Wanajamvi tunaweza ona ni jinsi gani vyuo vikuu kuna ambavyo ni bora university na kuna vingine ni university smart.

Sasa ndugu zangu naomba hebu tujadili kuhusu institute pia maana kuna institutes ambazo zinatoa wanafunzi ambao ni bora zaidi hata ya wale walio somea UDSM au UDOM.

Hasa katika kada za BIASHARA ( business administrations, procurement managers,accountancy, etc

Naombeni mtueleweshe vizuri maana najua humu kuna watu ambao wana ufahamu wa haya mambo

ASANTE.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…