kuna wakat SSC sajili zake sizielewi unataka kusema Africa nzima yupo Chama tu na team zote dunian haiwez kuuza mchezaji au wachezaji muhimu bila ya kupata mbadala wake walivyoondoka Chama na mwenzake hela ilikuwepo mm nilitegemea walete wabada plus forward mmoja matata pale mbeleMimi ni mshabiki wa simba lakini kwa haya yanayoendelea lazima ukweli usemwe timu yetu imekosa mipango viongozi wanamtajataja chama tu kwani hakuna wachezaji wengine? pesa ya luiz imetumikaje? viongozi fix tu...usajili haueleweki eti analetwa shibubu mtu anamiaka 42 wakatati wenzetu wanasajili makinda si kutwa na vibabu tubadilike jamani
simba yetu moja
mirinda yetu moja
Kwa hapa Africa now nani specialist wa freekick? Na je utamnunua mchezaji ili tu akusaidie freekicks ukiwa timamu kweli? Maana mabao ya freekicks ni machache mno duniani imagine Messi na ubora wake hajafikisha mabao 65 tu ya freekick wakati ana mabao 700 hivi ya carrier yakeKabisa tena,kuna free kick nyingi zenye kuzaa matunda lakini akuna fundi wa izo mambo.
Nakumbuka Roberto Calos na David Beckham kwenye free kick tano basi angalau tatu lazima wakuumize.
Huyo mtaalamu unayemsema kashapiga freekicks ngapi hadi sasa na kafunga magoli mangapi?Mleta Uzi umeongea point ya maana Sana ,Kuna muda najiuliza Sana Hawa wachezaji huko mazoezin huwa wanafanya kazi gani?
Je makocha wa mazoez Wana style moja ya mazoezI?
Mpka Sasa kwenye lig yetu mtu hatar wa kupiga freekick Ni mmoja tu Ntibanzokiza wengine wote Wana bahatisha tu.
Nirud kwa timu yangu Simba huko ndio hovyo kabisa kuanzia wapiga freekick ,wapiga penalty hovyo kabisa, angalau upigaji kona.
Siku ikatokea Simba imeingia matuta na timu yeyote Simba anaaga mapema Sana .Freekick 5 hufungi hata moja !!!Na hii sio kwa Simba tu Ni kwa vilabu vyote
sio kununua kwa ajili ya free kick pekee hapana ukichunguza asilimia kubwa ya wachezaji wanaojua kupiga hiyo mipira hata uwanjan sio vilaza kama unavyosemaMorison alifunga kwa freekick dhidi ya Red Arrows
Na duniani hakuna timu inanunua mchezaji wa kupiga freekicks tu kama ipo itaje
na ndiyo maana nikauliza je wanunue au waliopo wanafaa ukirejea kwenye kichwa habar utaonaKwa hivyo Simba imnunue nani specialist wa freekicks? Na je mchezaji yupi wa timu yoyote hapa bongo amefunga magoli 10 ya freekicks kwa mwaka kama kweli ni ishu muhimu kihivyo? Hao hao waliopo wafanye mazoezi ya freekicks tu hakuna mchezaji ambaye akipewa kupiga freekicks unahesabu 99% ni kufunga kama yupo mtajeni hapa kwa waliopo now
Waliopo wanafaa , Morison amefunga kwa freekick , Mwenda anajua kufunga kwa Freekicks , Wawa vilevile nadhani tu tatizo ni uwekezaji wa makocha kuamua kuipa time ya kutosha sension ya set pieces na hadi sasa naona improvement kubwa hasa kwenye kona jambo ambalo lilikuwa tatizo sana nyakati za nyuma.Huwezi kutegemea kikosi hiki ambacho kinajaribu kuundwa upya kupata kikosi bora zaidi kikupe kila kitu 100%na ndiyo maana nikauliza je wanunue au waliopo wanafaa ukirejea kwenye kichwa habar utaona
umenena vyema kabisa inabidi wawekeze kwenye hili swala nalo walipe uzito wakeWaliopo wanafaa , Morison amefunga kwa freekick , Mwenda anajua kufunga kwa Freekicks , Wawa vilevile nadhani tu tatizo ni uwekezaji wa makocha kuamua kuipa time ya kutosha sension ya set pieces na hadi sasa naona improvement kubwa hasa kwenye kona jambo ambalo lilikuwa tatizo sana nyakati za nyuma.Huwezi kutegemea kikosi hiki ambacho kinajaribu kuundwa upya kupata kikosi bora zaidi kikupe kila kitu 100%
Na by the way sisi tulio na kaujuzi kadogo tu ka mpira tunaamini hakuna timu iliyokamilika 100% kila timu ina udhaifu wake kazi ni kuugundua na kuutumia vema tu.
Niwekee nukuu mbili tu ulizozisikia kutoka kwa kiongozi yeyote wa Simba kwamba wamemsajili ChamaMimi ni mshabiki wa simba lakini kwa haya yanayoendelea lazima ukweli usemwe timu yetu imekosa mipango viongozi wanamtajataja chama tu
Ukijibiwa nitagNiwekee nukuu mbili tu ulizozisikia kutoka kwa kiongozi yeyote wa Simba kwamba wamemsajili Chama
ana magoli kama 4 mashindano yote tangu mwaka jana...una swali lingine?Huyo mtaalamu unayemsema kashapiga freekicks ngapi hadi sasa na kafunga magoli mangapi?
Simba hawataki ujinga. Yanga wanawakumbatia na kuwalipa mishahara minonoNyie ni wakongwe wa hizi mamboView attachment 2073214
Cm,, c,,, on x h. P x X,,,, p x x r zzz., and.,Hilo si jukumu la head coach.
umahiri wa kupiga faulo ni jitihada binafsi za mchezaji.
Yapo mazoezi maalumu ya kulenga shabaha ambayo mchezaji yeyote anaweza kujitengea muda wake binafs akajizatiti kwny eneo hili na kujizolea umaarufu.
Bahati mbaya sio simba tu, mafundi wa kupga faulo wameadimika duniani..
David bekham alikuwa anatenga muda maalumu nje ya wenzake kujizoeza kulenga shabaha.
Ni mazoezi tu, hakuna muujiza.
Yanga ni mtu anatuhumiwa, hakuna ushahidi, Simba ilikuwa live bila chenga.Simba hawataki ujinga. Yanga wanawakumbatia na kuwalipa mishahara minono