Waliopo wanafaa , Morison amefunga kwa freekick , Mwenda anajua kufunga kwa Freekicks , Wawa vilevile nadhani tu tatizo ni uwekezaji wa makocha kuamua kuipa time ya kutosha sension ya set pieces na hadi sasa naona improvement kubwa hasa kwenye kona jambo ambalo lilikuwa tatizo sana nyakati za nyuma.Huwezi kutegemea kikosi hiki ambacho kinajaribu kuundwa upya kupata kikosi bora zaidi kikupe kila kitu 100%
Na by the way sisi tulio na kaujuzi kadogo tu ka mpira tunaamini hakuna timu iliyokamilika 100% kila timu ina udhaifu wake kazi ni kuugundua na kuutumia vema tu.