lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
wasp
Ukiangalia kwa mfano game ya leo Vs Mlandege SSC imepata faulo nyingi sana kwenye maeneo ambayo kama wangetumia vizuri basi wangeweza pata goli hata moja lakini hawakufanya hivyo.
Timu zenye wachezaji wenye uwezo wa kupiga mipira iliyokufa kuna nyakati ndiyo pekee huleta matokeo kwenye timu husika.
Je, ni wakat sasa wa kutafuta wachezaji wenye uwezo wa kupiga mipira iliyokufa au hakuna haha hiyo?