Je, ni wakati sasa Simba Sports Club kutafuta free kick specialist au waliopo wana uwezo huo?

Je, ni wakati sasa Simba Sports Club kutafuta free kick specialist au waliopo wana uwezo huo?

Mleta Uzi umeongea point ya maana Sana ,Kuna muda najiuliza Sana Hawa wachezaji huko mazoezin huwa wanafanya kazi gani?

Je makocha wa mazoez Wana style moja ya mazoezI?

Mpka Sasa kwenye lig yetu mtu hatar wa kupiga freekick Ni mmoja tu Ntibanzokiza wengine wote Wana bahatisha tu.

Nirud kwa timu yangu Simba huko ndio hovyo kabisa kuanzia wapiga freekick ,wapiga penalty hovyo kabisa, angalau upigaji kona.

Siku ikatokea Simba imeingia matuta na timu yeyote Simba anaaga mapema Sana .Freekick 5 hufungi hata moja !!!Na hii sio kwa Simba tu Ni kwa vilabu vyote
sio kupga faulo tu, hata heading ni shida..

Kuna kitu kinaitwa jumping reach ni tatizo.
 
Mafundi wa kupiga freekick bongo
1.Saido
2.fei toto
3.aucho
4.david bryson
5.mayele
6.w. edga
.
20.Morrison
Kila mtu free kick anapiga. Tatizo ni kufunga hao wote uliowataja wanapiga lkn sio wafungaji kwa freekick. See the difference?
 
Kila mtu free kick anapiga. Tatizo ni kufunga hao wote uliowataja wanapiga lkn sio wafungaji kwa freekick. See the difference?
Saido hafungi? unajua anagoli ngapi za freekick tangu amekuja yanga?
 
Kabisa tena,kuna free kick nyingi zenye kuzaa matunda lakini akuna fundi wa izo mambo.

Nakumbuka Roberto Calos na David Beckham kwenye free kick tano basi angalau tatu lazima wakuumize.
Hawa walikuwa wazuri, ila baba lao ni Junihno Penembucano, hata katikati ya uwanja ni kama penati tu kwake.
 
Uyo kiumbe alikua ni wawapi mkuu,sijapata kumsikia?
Brazil, kacheza France hapo tena siyo miaka mingi iliyopita, ila hakuwa na namba ya kudumu timu ya taifa. Ila linakuja suala la free kick, alikuwa hana utani. Ndie anasemekana kuwa mpigaji bora wa free kick wa wakati wote.
 
Hilo si jukumu la head coach.
umahiri wa kupiga faulo ni jitihada binafsi za mchezaji.

Yapo mazoezi maalumu ya kulenga shabaha ambayo mchezaji yeyote anaweza kujitengea muda wake binafs akajizatiti kwny eneo hili na kujizolea umaarufu.

Bahati mbaya sio simba tu, mafundi wa kupga faulo wameadimika duniani..

David bekham alikuwa anatenga muda maalumu nje ya wenzake kujizoeza kulenga shabaha.

Ni mazoezi tu, hakuna muujiza.
kwa hiyo ni wavivu
 
Fundi pekee kwa Simba kwenye faulo na Penati kwa hivi sasa ni Erasto Nyoni

Moja ya faulo matata sana ni aliyopiga kwenye mechi ya Sudán vs Starz,,, ambapo tulishinda goli 2-1 ( wafungaji Nyoni na Nchimbi)
 
Mleta Uzi umeongea point ya maana Sana ,Kuna muda najiuliza Sana Hawa wachezaji huko mazoezin huwa wanafanya kazi gani?

Je makocha wa mazoez Wana style moja ya mazoezI?

Mpka Sasa kwenye lig yetu mtu hatar wa kupiga freekick Ni mmoja tu Ntibanzokiza wengine wote Wana bahatisha tu.

Nirud kwa timu yangu Simba huko ndio hovyo kabisa kuanzia wapiga freekick ,wapiga penalty hovyo kabisa, angalau upigaji kona.

Siku ikatokea Simba imeingia matuta na timu yeyote Simba anaaga mapema Sana .Freekick 5 hufungi hata moja !!!Na hii sio kwa Simba tu Ni kwa vilabu vyote
kweli kabisa inabidi wafanye mchakato wasolve hili tatizo kwa sababu free kick ni nusu goli
 
wanaweza kuwapo lakn ni mmoja mmoja.
sana. hata waliopo ni too average.

Nyakati zile mafundi hodari wa kupga free kick walikuwa ni wengi tena kwa wakt mmoja.

Pirlo, Beckam, Juninho, Carlos, ian hart, Gaucho,
Hao walikuwa ni rank 'A'

Gerald, Bridge, Geremi, nk ilikuwa ni rank iliyofuata..wengne nimewasahau.
wengi walikuwa na vipaji vya kuzaliwa navyo
 
Mimi ni mshabiki wa simba lakini kwa haya yanayoendelea lazima ukweli usemwe timu yetu imekosa mipango viongozi wanamtajataja chama tu kwani hakuna wachezaji wengine? pesa ya luiz imetumikaje? viongozi fix tu...usajili haueleweki eti analetwa shibubu mtu anamiaka 42 wakatati wenzetu wanasajili makinda si kutwa na vibabu tubadilike jamani
simba yetu moja
mirinda yetu moja
 
Fundi pekee kwa Simba kwenye faulo na Penati kwa hivi sasa ni Erasto Nyoni

Moja ya faulo matata sana ni aliyopiga kwenye mechi ya Sudán vs Starz,,, ambapo tulishinda goli 2-1 ( wafungaji Nyoni na Nchimbi)
Nyoni muda umeshamtupa mkono free kick zinatokea yupo bench au hata benchi hayupo sasa team ataisaidiaje inabidi awepo mtu kwenye first 11 anayetambulika mfano Jana Sakho ni mchezaji mzuri na alipiga baadhi ya free kick ila kwenye free kick bado inabid afanye mazoez zaidi
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Back
Top Bottom