Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendoYeah,ukiona imeshindikana unapiga kimya tu
wanyaki wana Mila za kuwa sehemu ya mume jumla au sio?Haya kaoe mnyakyusa hapo fasta😁😁
HahahahaAbee
Kaskazini again?
Mnatuwaza? Mbona tutawakondesha hii week 🤣🤸♂️
Vere complicated.....kumbe mama mkwe nae sio part ya ukoo 🤔Kwani mama mkwe naye ni sehemu ya ukoo ule basi?
Sema ukikubaliana na mumeo kuwa wewe ni kitu kimoja basi mmesimamia misingi ya ukoo. Wala msidhani kuwa ukikaa vyema na mama.mkwe ndo ukoo unakukubali.
Kama ile pisi yako sio 🤣🤣👊Hahahaha
Naona wiki hii kampeni kashkash ya Kaskazi imeshammiri
Lakini kuna pisi kali kasikazini 🤣
Si hapo To yeye amewawakilishawanyaki wana Mila za kuwa sehemu ya mume jumla au sio?
Mawifi hawana jema 😅Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendo
Kwahiyo ukiwa huna hela na hauna uchizi🤭🤭🤭
Hahaha mwanasheria wako aliandika mrazamo wake tofauti na uhalisia.Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendo
Kwahiyo ukiwa huna hela na hauna uchizi🤭🤭🤭
Bana bana bana wanyaki wanajua kujiweka. Yaani kwanza hawaachiki na pili wanajua kupetipeti ila ukizingua unazinguliwa kama kibuku inavyotikiswa.wanyaki wana Mila za kuwa sehemu ya mume jumla au sio?
Pamoja na yote ila uhusiano wa mkwe, wifi na mke huwa una tatizo tu naturally hata kwenye maandiko imeandikwa....ni watu ambao inahitajika kuishi kwa akili sana busara sana na kubwa zaidi kuishi mbalimbaliHahaha mwanasheria wako aliandika mrazamo wake tofauti na uhalisia.
Ukitaka ukoo ukuheshimu hakikisha una HEKIMA na BUSARA kabla ya ndoa. Weka misimamo mizuri kwa familia yako. Mwanaume unayekubaliana naye kuingia kwenye ndoa hakikisha ni mwanaume na siyo mvulana.
According to youTumepigwa na kitu kizito kutoka kaskazi.
Kule kusini ukipata mke unajisikia umeoa ukoo.
Huko kaskazini ukioa mke ujue umefungua duka la ukoo wao🤣🤣🤣
We acha tuMawifi hawana jema 😅
Ndo uhalisia huo.According to you
Laiti Wanawake wenye mtazamo kama wako ndio angekuwa wengi duniani basi Wanaume tungeishi kwa furaha sanaKaribu wanawake wote, ila siyo kabila.Sikuzote familia ya kila kabila inapoozesha binti utaka kuunganisha ukoo ila shida ni hao mabinti wakishaolewa hujivimbisha na kupata kiburi eti akinipenda mume inatosha sijaolewa na ukoo.Hizi ndoa hizi bhana
Utaishi na mtu mmoja ila hauolewi na mmoja bila hivyo mngechukuana kimya kimya.Kwani kweli unaolewa na ukoo jamani?? Si unaolewa na mtu mmoja[emoji2960]
... ukioa mpemba imekula kwako; kila Ijumaa atakuwa anavuka bahari na kurudi Jumatatu. Hatari sana.Hello JF family,
Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na familia ya mume.
kwa wanaofahamu au wenye dondoo ya hayo makabila tafadhari tutajia na weka ka experience au visa au kisa chochote.
Na hii ikawe chachu na chemichemi ya kutupa mwanga sahihi sisi wapinga ndoa na kataa kuoa. Sio kesi ni mtizamo tu na maamuzi, tuache makasiriko sisi wapinga ndoa ni watu pia.
Tupeni mwanga tujue Ila tuanze fikra za kuoa.
Inshallah
Wadiz
Hii komenti yako iwekwe NOTICE BOARD:Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendo
Kwahiyo ukiwa huna hela na hauna uchizi🤭🤭🤭
Wana ukoo ni wadau wa hiyo ndoa, stakeholders.Kwani kweli unaolewa na ukoo jamani?? Si unaolewa na mtu mmoja🤭