Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

Yeah,ukiona imeshindikana unapiga kimya tu
Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendo
Kwahiyo ukiwa huna hela na hauna uchizi🤭🤭🤭
 
Kwani mama mkwe naye ni sehemu ya ukoo ule basi?
Sema ukikubaliana na mumeo kuwa wewe ni kitu kimoja basi mmesimamia misingi ya ukoo. Wala msidhani kuwa ukikaa vyema na mama.mkwe ndo ukoo unakukubali.
Vere complicated.....kumbe mama mkwe nae sio part ya ukoo 🤔
Sa mi nitajihesabiaje ni ukoo ule kumbe wenyeji wangu nao ni wageni🤣🤣🤣
 
Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendo
Kwahiyo ukiwa huna hela na hauna uchizi🤭🤭🤭
Mawifi hawana jema 😅
 
Hahaha mwanasheria wako aliandika mrazamo wake tofauti na uhalisia.

Ukitaka ukoo ukuheshimu hakikisha una HEKIMA na BUSARA kabla ya ndoa. Weka misimamo mizuri kwa familia yako. Mwanaume unayekubaliana naye kuingia kwenye ndoa hakikisha ni mwanaume na siyo mvulana.
 
Pamoja na yote ila uhusiano wa mkwe, wifi na mke huwa una tatizo tu naturally hata kwenye maandiko imeandikwa....ni watu ambao inahitajika kuishi kwa akili sana busara sana na kubwa zaidi kuishi mbalimbali
 
Karibu wanawake wote, ila siyo kabila.Sikuzote familia ya kila kabila inapoozesha binti utaka kuunganisha ukoo ila shida ni hao mabinti wakishaolewa hujivimbisha na kupata kiburi eti akinipenda mume inatosha sijaolewa na ukoo.Hizi ndoa hizi bhana
Laiti Wanawake wenye mtazamo kama wako ndio angekuwa wengi duniani basi Wanaume tungeishi kwa furaha sana
 
Hello JF family,

Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na familia ya mume.

kwa wanaofahamu au wenye dondoo ya hayo makabila tafadhari tutajia na weka ka experience au visa au kisa chochote.

Na hii ikawe chachu na chemichemi ya kutupa mwanga sahihi sisi wapinga ndoa na kataa kuoa. Sio kesi ni mtizamo tu na maamuzi, tuache makasiriko sisi wapinga ndoa ni watu pia.

Tupeni mwanga tujue Ila tuanze fikra za kuoa.

Inshallah

Wadiz
... ukioa mpemba imekula kwako; kila Ijumaa atakuwa anavuka bahari na kurudi Jumatatu. Hatari sana.
 
Kuna siku mwanasheria wangu Leak aliandika vema sana kuhusu upendo wa ndugu wa mme, aliongelea mawifi specific.....ili mawifi wakupende inabidi uwe mmoja kati ya haya 1: uwe chizi yani kama fyatu ukikaa nao upige kazi kama punda yani uwe kama beki tatu kwao 2: uwe na hela ukijipindua hivi unaprovide tofauti na hapo ni wachache sana wenye upendo
Kwahiyo ukiwa huna hela na hauna uchizi🤭🤭🤭
Hii komenti yako iwekwe NOTICE BOARD:
 
Back
Top Bottom