Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

Status
Not open for further replies.
Asante kwa kukazia Mzee.....hivi ndivyo tutakavyowaokoa newbies na junior devs na hii trap ya kutokwenda na Market

Wajue Programming ni investment Inayo hitaji mda na Patience so kichagua right tools for the job ndio kila kitu

Masikitiko Java bado inapewa nafasi kubwa vyuoni.....na bado inafundishwa bila 'kueleweka'

Ushauri wangu Fanya research yako mwenyewe ujue ni technology ipi ipo kwenye market na INA future..

Sio unasoma soma tu kwasababu ulisikia chuoni kuna kitu kinaitwa Java
Mi sio programmer per say ila ni hobist na nimekuwa mfuatiliaji wa trend za language.Java haijawahi shuka top 3 sijajua hii miezi miwili.Mara nyingi naona Python,javascript , java, C++ zinakuwa topo five sasa ngoja ni google 2021 ,siwzi wabishia wataalamu mi field yang ni natural science huko kina quantum physics.
 
Pia kusoma online ni vizuri ukiwa na guideline (syllabus) ya nini kinahitajika. Ukisoma kupitia Youtube tu kuna vitu vingi utavikosa. Ukipata kitabu kinakua rahisi kufatilia nini kinahitajika maana watu wa youtube wana ruka ruka sana na hawakuelezei vizuri ukaelewa kma ni beginner.

Mm nasoma sshv kupitia Jetbrains academy na Udacity. Pia nna kitabu kinachonipa muongozo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao uda city gharama zao ni sh ngapi?
 
Hao uda city gharama zao ni sh ngapi?
Inategemea na course. Kila course ina bei yake.

Lakini zina range kuanzia $100 to $400 per month kwa nanodegree programs unazopewa na cheti.

Lakini pia wana free course nyingi tu ambazo zinakua hazina mentors
 
Mi sio programmer per say ila ni hobist na nimekuwa mfuatiliaji wa trend za language.Java haijawahi shuka top 3 sijajua hii miezi miwili.Mara nyingi naona Python,javascript , java, C++ zinakuwa topo five sasa ngoja ni google 2021 ,siwzi wabishia wataalamu mi field yang ni natural science huko kina quantum physics.
Java is still popular kwasababu ni language ya mda sana na bado vitu vilishatengenezwa kupitia Java. Kma hapa bongo almost all Android app zimetengenezwa na Java. Ila ni language ambayo haina future. Kwa sasa Java inatumika kwa maintenance ya vitu ambavyo tayari vilishatengezwa kutumia language hyo. Kma ndio unaanza kutengeneza app mpya ya Android leo unashauriwa uende na language kma Kotlin ambayo ina future kwenye field hyo.

Itafika wakati API zako unazotumia kupitia Java ni za zamani na hazina features mpya tena. Language mpya kma Kotlin unaziona kabisa zina support kubwa ya APIs mpya na ssa inapanuka inaenda mpaka kwenye multiplatform (KMM).

Sema Java ni kwamba haina future kwenye upande wa Android lakini Java bado haiwez ondoka leo wala kesho sababu bado ina support mambo mengi sana mengine ukiachana na Android.
 
Mkuu uzito wa kotlini upoje ktk kujifunza? jilinganisha na java.Je. je inaweza andika window app.What about GO nayo si ni ya google ina nafasi gani ?
 
Kotlin ni rahisi kujifunza kuliko Java. Unaweza andika Windows, Linux, macOS na Android apps kwa kutumia Kotlin Multiplatform.

GoLang kwa sasa inatumika sana kma language ya backend kwenye servers na mambo mengine ya networking. Hyo ndio sehem kubwa inayotumika na sijajua huko mbeleni itakuaje maana bado haijawa popular
 
Mkuu nimejaribu kupitia pitia kuhusu hii lugha, imeshauriwa kwamba ilu ujifunze kotlin ni muhimu uwe na basics za java.Yenyewe imejengwa kwa misingi ya java hivyo ina fanana ni oop na vilevile ni procedural.Wewe unadai kuwa ni rahisi kuliko java.Vilevile iliandaliw zaidi ku deal na android ambapo java ilikuwa na mapungufu mengi hasa memory management si kwa windo app . Vilevile java hajaondoka ktk top 5 ila ila uli dis sana hapo juu wakati bado ni popular na hataitashuka leo wala kesho pengine tutazeeka nayo.Hivi mkuu kampuni ya Oracle watakubali java iwafie au wataimodify iendane na wakati.
 
Edx, Udemy, Youtube,Khan academy
search google mzee site za kusoma bure na kulipia acha kwenda College unapoteza mda ni bora usome online tu
kabisa hana haja ya kulipa kabisa ..aanze tu na w3school huko shule atapoteza muda...
 
Mkuu nimejaribu kupitia pitia kuhusu hii lugha, imeshauriwa kwamba ilu ujifunze kotlin ni muhimu uwe na basics za java.Yenyewe imejengwa kwa misingi ya java hivyo ina fanana ni oop na vilevile ni procedural.Wewe unadai kuwa ni rahisi kuliko java.Vilevile iliandaliw zaidi ku deal na android ambapo java ilikuwa na mapungufu mengi hasa memory management si kwa windo app . Vilevile java hajaondoka ktk top 5 ila ila uli dis sana hapo juu wakati bado ni popular na hataitashuka leo wala kesho pengine tutazeeka nayo.Hivi mkuu kampuni ya Oracle watakubali java iwafie au wataimodify iendane na wakati.
Java itapitwa ni swala la muda tu.
java ni oracle na google anauchungu sana na oracle
 
Kwa mtazamo wangu ni kwamba kila lugha ya computer ina lenga sehemu flani ya tasnia nzima ya ulimwengu wa computer. Mfano python na R zinatumika sana kwenye data science kwa sababu kuna libraries nyingi za kurahisisha process nyingi za data science. Lakini hii haimaanishi kwamba lugha nyingine zitashindwa. Shida ni kwamba utakutana na changamoto kama za out dated libraries since hazina popularity kwenye hiyo sehemu. Ila hii haimaanishi kwamba ni useless kwa sababu kwenye scenario nyingine zinarahisha sana kazi. Ushauri wangu ni jifunze lugha sahihi kwa kazi unayotaka kufanya. Follow the trends but don't be a slave to online polls. Jifunze lugha nyingi kutegemea na target application unayotarajia kudevelop. Remember the best craftsman knows how to use his tools right!
 
Java itapitwa ni swala la muda tu.

Kotlin ni Java iliyopunguzwa makali, ukitumia lines of code 10 kwenye Java, uko likely kutumia lines 6 kwenye Kotlin kuperform task ileile, uki decompile izo files mbili ( one made by Kotlin, one made by Java) , matokeo yake unapata files zilizosawa ki lines ( machine language )

je unajua unawezapachika script za Java kwenye Kotlin, Kotlin ni kama ime upgrade Java kwa ku fix baadhi ya flaws,

ie: kuhandle Null Pointers kwenye Java inabidi ujiongeze, ila kwenye Kotlin, creator amejiongeza badala yako

walichofanya creators wa Kotlin ni ku merge method zinazofanana kikazi na ku create method moja, tayari inakusaidi wewe kuwa na lines chache uki code

hakuna language inayopitwa na wakati, hata Assembly bado iko usable kwenye low end micro-controllers programming, tena sana tu

kila language inakua useful kwenye muktadha flani
 
Kwa hio unagarantee? Mzungu sio kama mswahuli mkuu huwa wanaona mbele miaka 100.
mkuu unafikiri siku oracle wakihujumu Android kupitia java itakuwaje Google watapotea kibiashara..
 
mkuu unaifahamu Prel au Pascal?
kusema language haifi ni wazo lilopitwa na wakati?

Kwa mtazamo wangu ni kwamba kila lugha ya computer ina lenga sehemu flani ya tasnia nzima ya ulimwengu wa computer. Mfano python na R zinatumika sana kwenye data science kwa sababu kuna libraries nyingi za kurahisisha process nyingi za data science. Lakini hii haimaanishi kwamba lugha nyingine zitashindwa. Shida ni kwamba utakutana na changamoto kama za out dated libraries since hazina popularity kwenye hiyo sehemu. Ila hii haimaanishi kwamba ni useless kwa sababu kwenye scenario nyingine zinarahisha sana kazi. Ushauri wangu ni jifunze lugha sahihi kwa kazi unayotaka kufanya. Follow the trends but don't be a slave to online polls. Jifunze lugha nyingi kutegemea na target application unayotarajia kudevelop. Remember the best craftsman knows how to use his tools right!
yes kila mtu anaweza kutumia language tofauti na still output ikawa the same ...Lakin hasa ikiwa na outdated library inakuwa ngumu sana kudeal na time consuming...
 
Mkuu nimejaribu kupitia pitia kuhusu hii lugha, imeshauriwa kwamba ilu ujifunze kotlin ni muhimu uwe na basics za java.Yenyewe imejengwa kwa misingi ya java hivyo ina fanana ni oop na vilevile ni procedural.Wewe unadai kuwa ni rahisi kuliko java.Vilevile iliandaliw zaidi ku deal na android ambapo java ilikuwa na mapungufu mengi hasa memory management si kwa windo app . Vilevile java hajaondoka ktk top 5 ila ila uli dis sana hapo juu wakati bado ni popular na hataitashuka leo wala kesho pengine tutazeeka nayo.Hivi mkuu kampuni ya Oracle watakubali java iwafie au wataimodify iendane na wakati.
Hapana. Hauhitaji msingi wa java. Ni language inayojitegemea. Ina library za Java baadhi lakini wewe hauzigusi (zipo kwenye backend na kwenye compilers). Online kuna course zinazofundisha Kotlin for Java Developers. Hzo hazitakufaa kma hujui jamaa. Tafta course inayofundisha Kotlin for beginners.

Jetbrains academy wana offer free Kotlin course sshv.

Pia kuna vitabu: Kotlin Head First & Kotlin Apprentice. Hvi vinakufundisha Kotlin tu na haihitaji knowledge ya Java.

Youtube tutorials nyingi ndio zinasema ukajifunze java kwanza kwasababu course zao sio za absolute beginners.

Recommendation yangu ni Jetbrains academy. Hii ni uhakika lazima utajua Kotlin hata kama ni beginner kabisa na hujui chochote about coding. Na ukiwa na kitabu cha Kotlin Apprentice kukusaidia kuelewa zaidi. Tutorial za youtube hutoki na kitu kma ni beginner.
 
Mkuu nimejaribu kupitia pitia kuhusu hii lugha, imeshauriwa kwamba ilu ujifunze kotlin ni muhimu uwe na basics za java.Yenyewe imejengwa kwa misingi ya java hivyo ina fanana ni oop na vilevile ni procedural.Wewe unadai kuwa ni rahisi kuliko java.Vilevile iliandaliw zaidi ku deal na android ambapo java ilikuwa na mapungufu mengi hasa memory management si kwa windo app . Vilevile java hajaondoka ktk top 5 ila ila uli dis sana hapo juu wakati bado ni popular na hataitashuka leo wala kesho pengine tutazeeka nayo.Hivi mkuu kampuni ya Oracle watakubali java iwafie au wataimodify iendane na wakati.
Pia kma nilivyosema, Java kwenye Android haina future. Ila Java itaendelea kuwepo kwa miaka ijayo mbele sababu bado unatumika sehemu zingine ambazo sio upande wa Android.

Kotlin ni rahisi kuliko Java kujifunza. Urahis wa kujifunza lugha unapimwa kwa kwa urahisi wa kuelewa na kushika Syntax yake sio kwamba no OOP, Procedural, statically, dynamically type au uwezo wako wa kusolve tatizo. Syntax ndio inadetermine urahisi wa kujifunza lugha.

Hebu angalia MainActivity code ya ku inflate UI kwenye Android development alaf linganisha code ya Kotlin na ya Java uone ni ipi syntax yake ni rahisi kuishika na kuelewa.

Pia usichanganye Java Programming language and Java JDK/JVM (ambayo ni source kubwa ya income kwa Oracle). Language nyingi tu zinaweza kuwa compiled kurun kwenye JVM.
 
mkuu unafikiri siku oracle wakihujumu Android kupitia java itakuwaje Google watapotea kibiashara..
Oracle hawaendi kokote. Oracle wanategemea JVM na JDK zao zinazotumika sana tu kwenye computing world. Sio lazima uandike language ya Java ili kurun program yako kwenye JVM.

Java ni lugha yenye libraries nyingi sana inayotumika sio kwenye Android tu bali kwenye sehem nyingi sana. Java kwa sasa haina future kwenye Android apps (zingitia neno "Apps") ila bado ina kazi nyingi tu kwenye sehemu zingine.

Ila cha msingi ni kwamba jifunze lugha yenye mwelekeo kwenye platform unayotaka kudevelop apps usiende na mazoea. Angalia ni lugha gani inapewa kipaumbele na walio tengeneza platform ndio ujifunze hyo.
 
Itapendeza kama ukijifunza kwanza java kabla ya kotlin kwa sababu kwa mtazamo wa manguli wa coding wamesema "KOTLIN IS JAVA FOR LAZY PROGRAMMERS"

Hata hiyo kotlin wanyoipigia debe hawa lazy programmers wa JF inabadili kotlin programs kwenda java bytecode ili kutumika kwenye android
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom